Watengeneza gemu Pragmatic Play katika sloti ya video ya The Great Chicken Escape wanakuhakikishia masaa kadhaa ya burudani kubwa na nafasi ya kushinda zawadi kubwa! Kazi yako wewe ni kumsaidia tu kuku akimbie! Sloti hii ya video yenye ubora sana ina milolongo mitano na mistari 20 ya malipo. Seti dau lako kwa kubonyeza sehemu za – / + kisha bonyeza sehemu ya kuzunguka na uone alama ya Rooster kwa sababu ni alama yetu ya wild. Jokeri, kwa hakika, anabadilisha alama zote isipokuwa ile alama ya bonasi.

Kuna alama tatu au zaidi za bonasi zinazowasha kitufe cha bonasi. Kuna aina nyingi sana ya vidokezo vya bonasi na vinawashwa bila ya mpangilio maalum.endapo ukipata alama tano za bonasi kwa mkupuo utafikia kile kitufe cha Big Money moja kwa moja! Tutakutambulisha wewe katika vidokezo hivi vya bonasi tano ambazo ni bomba sana!

The Great Chicken Escape, Pragmatic Play Sloti tano za bonasi

The Great Chicken Escape!

The Great Chicken Escape!

Kidokezo cha bonasi ya kwanza ni “Random Free Spins”, ambayo inakuwa ikifanya kazi wakati wa gemu ya kawaida na ina vitufe vitatu tofauti vya kuzungusha: Guard Dog Wilds, Chicken Run Wilds na Care Package.

Kidokezo kingine cha bonasi ni “Secret Tunnel”, ambayo ni mzunguko wa bonasi usio na mpangilio maalum ambako vifaa vitatu vinatokea katika kioo. Chagua moja ya kifaa na uone zawadi zilizopo bila ya mpangilio maalum. Kitufe cha tatu cha bonasi ni “Poultry on the move”. Gemu hii ya bonasi ina alama 22 na kila alama inawakilisha pesa taslimu kwa kuchagua yai moja kati ya matano ya dhahabu.

Kidokezo cha tano cha gemu ya bonasi ni “Win free spins”, wakati ambapo utapata mizunguko kumi ya bure wakati ro

The Great Chicken Escape, Pragmatic Play, Big Money Bonus, Mitungi 12, Kasino ya Mtandaoni Meridian

The Great Chicken Escape, Pragmatic Play, Big Money Bonus, Mitungi 12, Kasino ya Mtandaoni Meridian

oster, ambaye ni jokeri, anapotokea.

Kidokezo cha tano cha bonasi ni “On the other side”, ambapo unapata mizunguko tisa na mmoja maalum ambao ni bure ukiwa na jokeri. Kidokezo kikubwa zaidi cha bonasi ni “Big Money Bonus”, ambayo kwa hakika ni kobe akiwa na mitungi 12 na kila kimojawapo kinakuwa na zawadi ya pesa.

 

Big Money Bonus, Pragmatic

Cheza The Great Chicken Escape inayokusaidia utembelee kambi na kuwasaidia kuku.

Burudika ukiwa na zawadi nyingi sana na bonasi za aina mbalimbali!

Maelezo ya kuhusiana na gemu za kasino yanaweza kupatikana hapa.

23 Replies to “The Great Chicken Escape – kazi ya sanaa ya muonekano!”

Leave a Reply to Lydia Emmanuel Magoti Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *