

Cheza gemu maarufu ya kubetia ya Kichina, Sic Bo! Gemu ina asili kutoka huko Asia, lakini kujulikana kwake ni kwenye mabara yote! Gemu hii inafahamika pia kama Tai Sai and Dai lakini bado inajulikana sana kwa jina lake hilo hilo – Sic Bo. Habanero, mtengenezaji wa gemu hii ya kasino, wametengeneza toleo hilo la gemu hiyo ambayo ina dhamira kubwa sana na unaweza kuona kwa urahisi sana matokeo ya dice upande wa juu kona ya kulia.
Katika upande wa kushoto kona ya juu ni historia ya dice iliyorushwa endapo unapenda kufuata takwimu.
Takwimu zipo wazi kabisa na zinajumuisha muda ambao upo katika mrusho mmoja, idadi kubwa ya kugonga nafasi za pale, thamani ya dice zilizopo. Kuna machaguo ya ziada na machaguo ya sauti wakati wa gemu. Mteja anayekuwepo hewani anaonekana katika kona ya kushoto.
Sic Bo, Habanero, Bonasi za Kasino Mtandaoni
Habanero
Sic Bo – vionjo vya gemu
Nini vionjo vya gemu na inachezwaje?
Hii Sic bo ni gemu rahisi. Hii ni moja kati ya gemu ambazo ziko mezani na inachezwa kukiwa na dice tatu ambazo zina thamani ya moja hadi sita. Unaweza kubetia kwenye chaguo moja kati ya machaguo mengi ambayo yapo mezani katika malipo. Lengo la gemu ni kubetia kwenye namba ambazo zitaangukia katika dice endapo ni majaribio ya kwenye namba moja ama sita katika dice, kwenye namba mbili kati ya tatu za dice iliyorushwa, au kwenye namba zote tatu ambazo zitaanguka.
Pale matokeo ya dice yanapopatikana alama kadhaa kwenye meza zitakuwa ni washindi.
Kwa kila mkeka kuna odds za malipo yake, na unaweza kubeti namba kubwa ama ndogo, shufwa ama witiri, mikeka ambayo matokeo ya dice ni shufwa ama witiri.
Kisha, unaweza kubetia kwenye idadi ya namba ambazo zitatokea katika dice. Sic bo ni gemu ambayo imejikita sana suala la bahati. Haina mpango maalum na hiyo ndiyo sababu ya kupata umaarufu duniani kote. Kwa haraka haraka ni kuwa uhakika (RTP) wa gemu hii ni 90.30%. tikisa dice, jaribu bahati yako na ushinde pesa!
Maelezo ya gemu za mezani za kasino yanapatikana hapa, na maelezo ya gemu za sloti za mtandaoni yapo hapa.
Meridian inatupa pesa na Casino
unapata shida ya nini ikiwa meridian inakuwezesha kupata pesa na bonus kwenye Casino
Meridian babá lao.casino.za ukweli
Casino inakupa pesa na unaburudika pia
Hii kasino safii me bonasi zenu tu dah
ngoja nijaribu bahati yangu
Safi sana 👍
Ngoja nicheze kasino hii
Hakunaga kasino nzuri zenye pesa rahisi Kama meridianbet kweli
Meridianbet hamna mpinzani wallaah