

Rolling Roger ni nungunungu mzuri sana mwenye rangi ya bluu, kuna vitu vyake anavyovipenda sana kuvikusanya na anaomba msaada wa kumsaidia kukusanya anachotaka yeye. Ukimsaidia tu naye anakuzawadia sana wewe mteja! Rolling Roger ni toleo jipya kabisa la watengenezaji wa Habanero. Inajumuisha milolongo mitano, mistari mitatu na mistari 25 ya malipo.
Sloti hii ipo katika msitu mzuri, mwangaza mzuri unaonekana na fremu yake ina muonekano bomba sana. Sloti inakupatia mfumo mpya wa malipo unaoitwa Rolling Pays. Wakati mizunguko inaendelea, huyu, Roger atabadilika na kuwa kama kijimpira chenye povu na kufanya miunganiko ya ushindi kutoka kuwa mitatu hadi 15.
Endapo Roger anaelekea kwa alama ya wild, punje zake zingine zitaongezeka kwenye Rolling Pays Caunter, yaani ni kuwa katika sehemu yako ya mahesabu. Idadi ya juu ya punje zake ambazo zinaweza kukusanywa ni 120. Kisha Roger anaacha kuzunguka, na miunganiko yake yote italipwa kwa kadri ya jedwali la malipo ambalo linakuwepo pale. Scatter ni alama pekee ambayo haiwezi kukusanywa.
Rolling Roger, Nungunungu, Habanero
Kukiwa na muonekano wa alama nne za scatter, mkeka wa kwanza kabisa unaongezeka mara kumi na, kunapotokea alama tano za scatter, inaongezeka mara 100. Ile scatter inayotokea katika mlolongo inakuwa ni katika punje 40 zilizokusanywa. Baada ya hilo, pale scatters tatu zinapotokea katika mlolongo, kitufe cha mizunguko ya bure kinaanza kufanya kazi. Kila mzunguko wa bure unagharimu punje moja.
Endapo Roger anaelekea kwenye malipo madogo wakati wa mizunguko ya bure, alama itabadilika bila ya mpangilio na kuwa ile ya jokeri na inagharimu eka tano. Endapo hautoweza kuona wanyama hawa wazuri katika bustani yako, basi ni hakika kuwa watakuwa wakikusubiri pale katika sloti ya Rolling Roger. Hapa utakutana na jongoo asiye wa kawaida, anakupa namna mbalimbali za ushindi, chura, nyuki na wanyama wengine wazuri sana ambao watakufanya uwe na siku tamu sana!
Cheza gemu hii inayoburudisha mno na umsaidie nungunungu kupata punje zake! Maelezo ya kuhusiana na sloti zingine za video yanapatikana hapa.
More games more fun
Rolling Roger sio mchezo
Good game