Poka ni gemu maarufu duniani ambayo siku zote imekuwa ikivuma sana! Wabunifu wa gemu hii, Expanse, wanakuletea toleo jipya na kubwa la poka, Pixel Poker! Pixel Poker ni gemu ya video ya poka ambayo inachukua hisia yako kwenda katika zama za kale ambazo zilikuwa ni nzuri sana. Kwa mashabiki wa “old school”, hii kwao ni kama “medicine for the soul”, na wakati huo huo inawavutia sana vijana wa ulimwengu huu.

Fremu ya sloti hii ina muonekano wa mbao zenye rangi ambazo si za kawaida, na maeneo ya ndani yake yamejazwa sauti zisizochukiza. Sehemu ya nyuma yake ni anga la rangi ya bluu ambalo linaangaza kwa umakini kabisa karata za kwenye sloti hii. Upande wa kulia wa sloti ni funguo za gemu. Kukiwa na muundo huu maridhawa kabisa, hawa Expanse wanaamsha kipaji kilichojificha na kuleta gemu maarufu katika njia mpya.

Pixel Poker inachezwa kwa kikasha chenye karata 53 ambapo inamaanisha kwamba kuna karata 52 ndani yake na jokeri. Jokeri ni kitu muhimu cha karata hii kwa sababu inaweza kuchukua nafasi ya karata nyinginezo kutoka katika kikasha cha kawaida. Kila sehemu inachezwa kwa kikasha kilichopo.

Pixel Poker – mtindo wa gemu

Bonyeza sehemu ya kitufe cha kujumlisha na kisehemu cha kutoa ili kuseti thamani ya juu na ya chini ya mkeka. Baada ya hapo, unahitajika kubonyeza kitufe cha Share ili upate karata ya kwanza kabisa. Karata ambazo ni sehemu ya muunganiko wa ushindi unatunza moja kwa moja katika nyaraka zinazotakiwa. Unaweza kubadilisha machaguo yaliyopo katika hifadhi ya karata kwa kubonyeza kitufe cha Hold. Wakati zile karata zilizohifadhiwa zikiwa zimechaguliwa, bonyeza kitufe cha Replace kinachosambaza tena karata ambazo hazijawekewa alama katika hifadhi.

Ushindi unaonekana katika sehemu ya kioo. Baada ya kila sehemu ya ushindi, mteja anakuwa na nafasi ya kufanya ushindi wake uwe ni mara mbili kwa kubonyeza kitufe cha Gamble. Pia, kuna kitufe maalum cha Pay Half ambacho kinakupatia ruhusa ya kulipwa nusu ya ushindi wako kabla ya kuanza kwa gemu hii. Malipo yanakuwa ni mara mbili kwa kuzingatia ukweli kwamba ni sahihi kwa mteja kuchagua rangi ya karata inayofuatia kwa kubonyeza vitufe vya Red au Black. Pale mteja anapotaka kusimamisha gemu, anachotakiwa kufanya ni kubonyeza kitufe cha Payout.

Pixel Poker, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Pixel Poker, Bonasi ya Kasino Mtandaoni

Pixel Poker ni gemu inayofurahisha na kuburudisha kwa aina yake, iwe ni unakisia pea mbili, tatu, kentu ndogo, inayofanana, poka, wafalme au bibi harusi, kitu kimoja unahakikishiwa, kuwa utafurahia kucheza kila dili mpya inayokuwepo.

Uhakika wa gemu ya Pixel Poker kwa mteja ni mkubwa sana ukiwa ni 98.60%. wasambazaji waitwao “Expanse” wameonesha katika gemu hii kwamba poka inaweza kuwa inaburudisha na kuvutia.

Unaweza kuona maelezo mengine ya gemu za video za poka hapa.

16 Replies to “Pixel Poker – gemu isiyozuilika kwa nafsi ya mtu yeyote!”

Leave a Reply to Mwanahamisi Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *