Fanya ziara katika jiji la Forbidden City ukiwa na sloti ya video ya Fa Cai Shen! Jipe muda wa kufahamu mahekalu bomba sana ya jiji hilo lililowekewa kizuizi na ujiunge katika shangwe bora kabisa za mwaka mpya wa Kichina ukiwa na gemu ambayo itakupa wewe zawadi.

Fa Cai Shen

Fa Cai Shen

Fa Cai Shen ni sloti ya video kutoka kwa watengenezaji wa gemu waitwao Habanero. Gemu inajumuisha milolongo mitano na mistari ishirini na nane ya malipo. Sloti hii ya video inawapa wateja uhuru wa kutosha na idadi kubwa ya machaguo kuanzia wanapoanza kuicheza.

Gemu hii ina vitu vya dhahabu ndani yake ambavyo vinakuwa na thamani ya sarafu endapo vikipangiliwa vyema kabisa katika milolongo. Alama maarufu zaidi ya milolongo ni alama ya kadi ya kawaida ambayo inahitaji kuwekwa pamoja ili itengeneze faida. Menyu inayobakia ni bomba zaidi na inaburudisha sana, inajumuisha vitu kadhaa vya dhahabu ambavyo vinaweza kukupatia wewe mpaka sarafu 1000, usiache viondoke. Alama mbili zinazofuatia ni muhimu sana na zinalipa kwa mtindo wa kipekee endapo unataka kuongeza nafasi yako ya kushinda zaidi.

Ya kwanza inawakilisha mhusika mkubwa akiwa na taji la kifalme na ni jokeri wa sloti hii ya video. Itumie hiyo badala ya alama yoyote ya kawaida na itakamilisha muunganiko wowote na kufanya malipo yawe mara tatu yake. Pia, jokeri anasambaa kwenye milolongo yote kila mara anapotengeneza muunganiko wa ushindi.

Alama ya pili ni alama ya taji la kifalme la dhahabu. Alama hii ni scatter ya sloti hii. Dondoshea mizunguko mitatu au zaidi katika mzunguko ambao unaelekea kwenye mizunguko kumi na mbili ya bure. mizunguko ya bure mtandaoni.

Fa cai shen na jakpoti ya muendelezo!

Fa cai shen na jakpoti ya muendelezo!

Fa cai shen na jakpoti ya muendelezo!

Kwa kuongezea, sloti hii ya video pia ina jakpoti ya muendelezo ambayo inaweza kuwashwa bila ya mpangilio wakati wowote ule. Pia, gemu ina kitufe cha kujichezesha yenyewe, unaweza kukiwasha endapo unakuwa unahitaji kwenda zako kupata chakula cha mchana au umechoka. Kwa haraka haraka ni kuwa uhakika wa sloti hii ya video ni (RTP) 94.00%.

Habanero anajulikana kwa gemu nzuri anazozizalisha, zikiwa na utajiri wa rangi na dhamira kibao na gemu hii haipo nyuma katika jambo hilo! Fa Cai Shen ni gemu nzuri ikiwa na vionjo bomba vya muonekano. Malipo yaliyopo ni ya kiwango cha pekee sana. Mzunguko wa bonasi ni bomba sana, lakini hakuna mteja ambaye atakataa mizunguko ya bure ya mtandaoni.

Angalia hilo taji la kifalme la dhahabu!

Maelezo mafupi ya gemu za kasino yanaweza kupatikana hapa.

2 Replies to “Mwaka mpya wa Kichina Fa Cai Shen katika sloti mpya!”

Leave a Reply to Devotha Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *