

Lucky Lady’s Charm Deluxe ni moja kati ya sloti maarufu sana kutoka kwa Novomatic. Endapo unataka kuona mambo matatu kwa mara moja katika gemu moja: bahati, furaha na urembo, hii gemu ni sahihi kabisa kwako! Moja ya alama kuu za gemu hii ni binti mzuri wa kizungu aitwaye Lucky Lady.
Anawakilisha jokeri katika gemu hii ambapo anachukua nafasi ya kila alama na kufanya mara mbili ya hesabu ya alama. Kinacholeta gemu ya bonasi ama scatter ni kile kisehemu cha zambarau ama Glass Ball. Yeye, kama vile Lucky Lady mwenyewe, ana nguvu ya kuchukua nafasi zote za alama nyinginezo na kumsaidia mteja kutengeneza miunganiko yake ya ushindi, Alama zingine ni: kiatu cha farasi, mdudu aina ya ladybug, herufi, kucha ya sungura, kwato na mfalme na malkia.
Kitu kikubwa hapa ni kuwa alama ya scatter katika gemu hii inatokea ukipata si chini ya scatters tatu, zitazinduliwa kwa mzunguko wa bonasi wenye mizunguko mingi kadri ifikiayo 15. Ushindi wa hapa utakuwa ni mara tatu wakati wa hiyo mizunguko!
#Lucky Lady’s Charm Deluxe #Novomatic, #Bonasi ya Kasino Mtandaoni #Glass Ball #Lady Bug
Lucky Lady’s Charm Deluxe
Ongeza ushindi wako mpaka kufikia mara 9,000 ukiwa na Lucky Lady’s Charm Deluxe! Wakati mizunguko ya bure inashindaniwa, mkeka unawekwa mapema na kubakia kuwa ni ule ule, lakini ushindi wa gemu ya sloti unahesabika mara tatu! Kiwango cha juu cha malipo katika mstari mmoja ni mara 9,000 kwa kila mstari. Lengo la gemu hii ni kupata alama sawa katika safu zote tano.
Sloti inaanzishwa pale kwenye kitufe cha start, na kitufe cha autostart kipo pia ambapo unaweza kukichagua, wakati sloti ikiwa imeanza moja kwa moja na kusimama pale tu inapokuwa ni maamuzi yanayohitajika kwa ajili ya hatua inayofuatia. Katika gemu ya sloti, unarekebisha tu dau lako kwa kutumia vitufe vya + na – kabla ya kila mzunguko na mwanzoni mwa kila gemu.
Katika sloti hii kila baada ya muunganiko wa ushindi mrembo anakupa ruhusa ya kubeti naye kwa kubonyeza sehemu ya gamble au mara tu unaponyakua ushindi wako kwa kubonyeza sehemu ya kitufe cha kukusanya malipo yako. Katika hii sloti ya Lucky Lady’s Charm Deluxe mteja anaweza kupata mara mbili ya ushindi wake kwa kuchagua sehemu ya weusi au weupe kwenye kila muunganiko unaokuwepo.
Endapo akiamua kubeti kunakuwa na uwezekano wa kupata zaidi lakini anakuwa na nafasi ya kupoteza kila kitu! Jaribu hii kitu, unaweza kushinda vyema!
Maelezo ya sloti za video yanaweza kupatikana hapa.
Safii sana hii slot
Game slot nzur sana hii 👍
Kasino ya kupiga pesa
Hapa pesa tupuuu!!!
Hatariiiiii🔥🔥🔥
Hot cassino