Upo tayari kwenda Japan? Tunakupeleka ukafurahie uhondo mpya! Angalia dunia ya samurai na uingie katika busara za wapiganaji wa kale waliokuwa wakitumia upanga kupigana unapocheza sloti ya mtandaoni kutoka kwa msambazaji wa Katana aitwaye Novomatic. Ingia katika dunia na upiganie zawadi nyingi!

Muonekano bora kabisa na mambo kedekede hayatokuacha ukiwa hauna utofauti wowote ule. Weka alama katika sehemu sahihi kwenye miinuko ukiwa na usaidizi wa katana wako. Ungana, shinda na uwe ni sehemu ya historia!

Sloti hii inayoburudisha sana inajumuisha milolongo mitano, mistari ya malipo ipatayo 20 ambayo inabadilishika badilishika na inakupatia wewe ongezeko la ushindi kwa 600x kwa kila mstari wa malipo. Kabla gemu haijaanza, rekebisha mikeka yako na mistari yako ya malipo na ujiingize katika uhondo kuelekea katika misitu ya huko Japan. Unaanzisha gemu hii kwa kubonyeza sehemu ya Start ili iwe katika mfumo wa kuchezeshwa bila ya kujichezesha yenyewe, au kwa kubonyeza sehemu ya Autoplay na kuifanya ijichezeshe yenyewe.

Katana, Novomatic, Greentube, Bonasi za Kasino Mtandaoni

https://onlinecasinobonus.co.tz/gemu/

Katana, Novomatic

Lengo la hii ni kupata alama zinazofanana zipatazo tatu mpaka tano kwa kila mstari. Endapo ukifanikiwa katika hilo, kunakuwa na uwezekano wa kupata chaguo la Kubashiri pia, yaani kubetia, ambapo karata nyeusi ama nyekundu inachaguliwa na kunakuwa na uwezekano wa kufanya ushindi wako uwe ni mara mbili.

Jokeri anawakilishwa kwa uhusika wa samurai, na anachukua nafasi ya alama zote isipokuwa alama ya scatter ambayo inalipa popote pale. Pia, jokeri anaweza kutokea wakati wa mizunguko ya bure, ambapo anaweza kuchukua nafasi zote za kwenye milolongo na kuchukua nafasi ya alama zote isipokuwa ile ya scatter. Kukiwa na muonekano wa scatters tatu, nne, au tano, inawasha mizunguko 10 ya bure.

Hii Katana inaongeza faida mpaka kufikia mara 1,000. Alama zinazotokea hapo ni: wapiganaji, hekalu, jeshi, geisha, mionekano, herufi A, J, K, Q, vile vile kuna picha kwenye ramani ambayo inatokea wakati wa kitufe cha Kubashiri. Jokeri inawakilishwa na samurai na, endapo inatokea mara tatu, anaongeza kwa faida ya mara 500 na endapo anatokea mara tano inaongezeka kwa faida ya mara 1,000.

Bila ubishi ni kuwa kila mtu anapendezwa sana na samurai, wapiganaji wasiyo waoga na wanaohofia chochote kile. Silaha yenye thamani kubwa ni upanga wa samurai katana, ambapo sloti hii ilipatia jina huko. Ingia katika utamu wa kujaribu bahati yako na changamoto zitakufanya uufikie ushindi unaostahili!

Kuangalia sloti zingine za mtandaoni ingia hapa.

15 Replies to “Katana – fungua upanga wako na uwe tayari kwa mapigano!”

Leave a Reply to amiri kayera Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *