Jiunge nasi katika uhondo mpya – inaitwa gemu ya sloti ya video ya Great Rhino, ambayo inahusisha nyanda za savana huko mbugani barani Afrika kukiwa na majangwa kadha wa kadha. Nyuma ya gemu hii kuna uwanda wa savana wakati wa kuzama kwa jua wakati sauti zilizopo zinakamilisha safari yako bomba sana.

Muuzaji wa gemu hii ni kampuni ya Pragmatic Play. Jokeri katika sloti ya Great Rhino inayowakilishwa na sarafu ya Afrika ikiwa na picha ya kifaru na inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za scatter.

Scatter inawakilishwa kwa mti mzuri wa Acacia. Inatokea katika safu mbili tu, tatu na nne. muundo wa gemu hii ya sloti ya video ni ya kawaida: safu tano na mistari mitatu ikiwa na alama. Endapo tukibonyeza kitufe cha kuanzisha gemu, safu itazunguka yenyewe mpaka muunganiko unapotokea. Gemu hii ya ajabu ina mistari 20 ya kubetia ambayo inafanya kazi wakati wote.

Great Rhino, Pragmatic Play, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Great Rhino, Pragmatic Play

Great Rhino inakupa wewe jakpoti mbili! Kuna jakpoti mbili katika gemu hii: kubwa na ya kawaida. Jakpoti zinashindaniwa katika gemu yenyewe kwa msaada wa alama za kifaru. Endapo alama mbili au zaidi za kifaru zinazotokea katika mlolongo mmoja inawasha mizunguko mipya mitatu. Endapo safu mbili au zaidi za alama za kifaru zinagongwa basi kuna uwezekano wa kupata mzunguko mkubwa.

Wakati wa chaguo la mzunguko mkubwa unaowashwa gemu inalipa kwa miunganiko ya ushindi baada ya ile ambayo inakuwa ni safu kamili zinazobakia katika safu.

Great Rhino, Pragmatic Play, Bonasi za Kasino Mtandaoni

Great Rhino, Pragmatic Play

Mzunguko unaanza kukiwa na mizunguko mitatu ya ziada. Wakati wa mzunguko huu unakuwa na alama ya mzunguko wa kifaru.

Kila mara alama ya kifaru inapotokea inasalia katika safu na mzunguko mwingine mpya unaopatikana. Wakati wa mizunguko mipya inayotumika, miunganiko yote ya ushindi iliyo na alama ya kifaru inaongezwa na kulipwa kabisa. Endapo kunakuwa na alama 14 za kifaru zilizobakia katika kioo, mteja atashinda ile jakpoti ya muhimu. Hiyo haitoshi, ni kuwa jakpoti ya msingi inabakia katika sehemu ambayo haibadiliki na ni zao la thamani ya 375x na jumla ya dau lako.

Endapo mteja anagonga alama za kifaru zipatazo 15 wakati wa mizunguko ya ziada, mteja anakuwa na zawadi ya kupata jakpoti kubwa, badala ya mlolongo wa kushinda. Jakpoti kubwa inakuwa haibadiliki na ni zao la 500x na dau unaloweka kwa ujumla. Endapo mteja akiwa ameshinda kuna uwezekano wa mizunguko ya bure kutokea ikiwa na mzunguko ule ule ambao unakupa zawadi, mzunguko wa bure unachezwa baada ya mzunguko wa ziada.

Jakpoti nzuri zaidi mbili, wanyama kibao wa mwituni na muziki unaoburudisha sana, unaweza kuvuta sana hisia zako na kukurudisha wewe kwenye uhondo wa Great Rhino!

Maelezo kamili ya gemu zingine za kasino za mtandaoni zinaonekana hapa.

8 Replies to “Great Rhino – tembelea wanyama wanaopatikana katika savana ya Afrika!”

Leave a Reply to Angelina Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *