

Ulifahamu kwamba tamaduni ya china imejawa na mambo ya kichawi na namba 88 inasimama badala ya hali ya kuwa na furaha mara mbili mbili? Kule China, wanasalimiana kwa 88 (ba ba), ambayo ina maana ya kwamba “Ninakutakia mafanikio mara mbili mbili”. Ikiwa imetokana na stori hii sasa Pragmatic Play wamegundua gemu mpya, inaitwa Fire 88, wakati ambao unaweza kuwa na uhakika wa kuwa 88 ni namba yenye bahati kweli kweli!
Unachezaje?
Tukipitia kolamu tatu, alama 88, kichwa cha dragoni, dhahabu ya njano, viwasha moto vyenye rangi, sarafu za China zenye rangi mbalimbali pamoja na bonasi, wateja wanapata jakpoti tatu za aina tofauti.
Sloti hii inakupa wewe mkazo katika kuicheza yenyewe tu mara kwa mara…
Fire 88, Pragmatic Play, Bonasi za Kasino Mtandaoni
Fire 88, Pragmatic Play
Moto kutoka katika jina la sloti ya Fire 88 limetokana na muonekano wa nyuma wenye moto ambao kwa pamoja unakuwa na anga la aina moja, kukiwa na sauti ambazo zinaisindikiza hiyo hiyo. Ni rahisi sana kuicheza na ina mistari saba ya malipo.
Jokeri anawakilishwa na kichwa cha dragoni, ambayo ni moja ya alama muhimu sana za kitamaduni za kuonesha furaha na utajiri huko China. Inalipa mpaka kufikia mara 100 zaidi ya dau lako. Alama zingine ambazo zinalipa sana ni: alama ya dhahabu ya njano, ambayo inalipa mara 60 na kuna sarafu ya kijani, ambayo inalipa mara 30.
Jokeri anachukua nafasi ya alama zote. Wakati vichwa viwili vya dragoni vinatokea, mzunguko mwingine wa bure ambao hauna alama ya wild unawashwa tena. Gemu ya bonasi inapatikana katika muunganiko wa alama tatu za 88.
Jakpoti tatu za bonasi katika Fire 88!
Jakpoti ya bonasi ni ile inayoitwa kuwa ni gemu ya “take and win”. Katika hii tunaona kwamba kuna jakpoti tatu zikiwa na thamani isiyobadilishika. Kwa kuchagua sarafu, tunagundua kuwa alama ya jakpoti ipo na endapo tukiunganisha sarafu zenye rangi inayofanana basi tutazawadiwa jakpoti inayohusika nayo. Bluu, jazkpoti ndogo ni jumla ya mikeka mara 38, jakpoti ya kawaida ni mara 88, na jakpoti kubwa ni mara 888! Uhakika (RTP) ni 96.46%, ambayo ni zaidi ya zile sloti zingine za video mtandaoni.
Wateja wanaopenda sloti za kasino za kupendeza ambao wanachukua muda mrefu ni hakika kuwa watashikilia pale kwenye vifaa vyao na watazawadiwa!
Maelezo ya gemu zingine za kasino mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.
Bonus za kibabe
Ipo poa hii
Sijaolewa huu mchezo jinsi ya kucheza mpaka nifundishwe na mtu
Safii sana
Hizi number nazikosa kosa kila siku ila sikati tamaa
nice
Fire 88 safii meridian
Binge la game
Raha sana aiseee
Safii sana
Like!! I blog quite often and I genuinely thank you for your information. The article has truly peaked my interest.