Mwezi Februari mwaka 2017, watengeneza gemu wanaoitwa Evolution walihitimisha safari yao ya kuzindua gemu mpya ambayo ilitokana na alama maarufu sana ya furaha. Tunapata gemu ambayo inaitwa Dream Catcher, ambayo, tunaweza sema kwa uhuru kuwa, inawavutia sana wateja waliopo wa sasa, lakini pia wale ambao ndiyo wanaanza safari nao watapata fursa zao. Gemu hii ya mtandaoni inachezwa kwa kutumia gurudumu kubwa, lililo wima, ambapo dealer anazungusha. Unaweza kuona gurudumu la hazina katika kasino nyingi ambazo zipo na vile vile katika maswali ya kwenye televisheni.

Dream Catcher, wheel of fortune, bonasi ya kasino mtandaoni

Dream Catcher

Dream Catcher

Katika Dream Catcher, gurudumu liimegawanyika katika sehemu 54 ambazo ni sawa kabisa, visehemu 52 vina namba. Namba ambazo zinapatikana katika kidoti ni moja, mbili, tano, 10, 20 na 40. Kila namba ina rangi ya kipekee ikiwa inatafsiri namba hiyo pekee. Endapo, baada ya kuzungusha, gurudumu linasimama katika namba ambayo umeichagua, unakuwa umeshinda! Sehemu mbili ambazo zimesalia ni vizidisho vya mara mbili na mara saba.

Hizi ni sehemu za bonasi kwa hakika. Kazi yake katika gemu hii ni kuzidisha ushindi wako unaofuatia. Tukiongelea sheria za gemu hii ni kuwa ziko rahisi sana. Unachotakiwa kufanya ni kuweka mkeka katika namba ambayo unaamini kuwa gurudumu litasimama kwake. Baada ya hayo, dealer atazungusha gurudumu. Gurudumu likisimama, mshale ambao umewekwa katika kipande cha ngozi ambacho hakibadiliki itaonesha namba ambayo imeshinda.

Wheel of Fortune

Mikeka yote inalipwa kwa kadri ya thamani za namba ambapo lile gurudumu litasimama kwake.

Kwa mfano, endapo gurudumu litasimama katika namba kumi, dau la sehemu ya kumi litalipwa, na kadhalika…

Zidisha ushindi kwa Dream Catcher! Endapo gurudumu litasimama katika kisehemu cha kizidisho, mikeka yote itabaki kuwa ilivyo kwa ajili ya mzunguko unaofuatia. Ni ushindi unaotarajiwa pekee ambao utazidishwa kwa mbili au kwa saba, kutegemea na sehemu ipi ya kizidisho ambako gurudumu litaangukia. Endapo gurudumu litasimama katika kisehemu cha kizidisho katika safu za mara mbili ama zaidi, watazidisha kila moja kwa ongezeko la ushindi unaotarajiwa kwa kiwango hicho.

Idadi ya vizidisho vinavyofuatana haina ukomo, isipokuwa pale ambapo inazidi kiwango cha juu cha malipo. Uhakika (RTP) wa gemu hii ni 96.58%. Kwa nyongeza ya wateja wale wa kawaida, hii Dream Catcher itavuta akili yao pamoja na mashabiki wa maswali ya televisheni pamoja na wale wateja wa mara kwa mara.

Gemu ni rahisi sana kuicheza, na sheria zako ni nyepesi mno. Wale dealers wanafurahisha na wanaburudisha. Usiikose Dream Catcher, tunakuahidi burudani na pumziko zuri. Zungusha gurudumu lako la bahati, inaweza inaangukia katika namba yako ya bahati!

Furahia! Maelezo ya ufupi ya gemu za kasino yapo hapa.

12 Replies to “Dream Catcher – geuza gurudumu la furaha na ndoto zako zitimie!”

Leave a Reply to amiri kayera Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *