Wote tutakumbuka kwamba kuna filamu tamu sana ya “Da Vinci’s Treasure” ya mwaka 2006, ambayo ilituacha midomo wazi. Ikiwa imetokana na Da Vinci, Pragmatic Play wanatuletea gemu mpya ya – Da Vinci’s Treasure, ambapo unaweza kuhisi raha ya ajabu unaposaka hazina. Kuna sauti kadha wa kadha na alama ambazo zinachangia hali isyo ya kawaida katika uchezaji wake ambapo moja kwa moja itaongeza nafasi ya wewe kufikia malipo salama na makubwa zaidi. Gemu inatokana na watafiti na watu wa kufuatilia mambo ya kale. Unachezaje hii kitu? Da Vinci’s Treasure ni gemu ya sloti iliyo na milolongo mitano na mistari 25 ya malipo.

Katika nyakati ambazo unakuwa umechoka kuzungusha basi utapata urahisi zaidi kwa kubonyeza sehemu ya gemu kujizungusha yenyewe bila ya kuingiliwa. Alama ya sloti ya Da Vinci ni wild katika gemu na inaweza kuchukua nafasi zote isipokuwa alama ya bonasi. Alama ya wild inaweza kutokea katika milolongo miwili, mitatu, minne au mitano. Ile Cryptex ni alama ya bonasi ambayo inatokea katika mlolongo wa pili, tatu na nne wakati wa gemu ya kawaida.

Hata hivyo, endapo tatu zinatokea katika mzunguko ule ule basi utakuwa na haki ya kupata mzunguko wa bure. Pale inapowashwa moja ya gemu za bonasi kati ya tatu ambazo hazina mpangilio maalum zitaanza kuchezwa.

Da Vinci’s Treasure, Pragmatic, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, John Hunter and the Secrets of Da Vinci’s Treasure, Mizunguko ya Bure Yenye Kizidisho cha Muendelezo, Map Quester, Prize Picker Da Vinci’s Treasure, Pragmatic

https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs25davinci

Gemu za bonasi zinakuletea wewe Map Quester, Mizunguko ya Bure Yenye Kizidisho cha Muendelezo na Prize Picker. Bonasi hizi zinakupa wewe, kial baada ya gemu, chaguo la kuongeza ushindi wako mara mbili au tano au kuingiza kiwango ambacho umeshinda.

Da Vinci’s Treasure – shinda mpaka mizunguko 60 ya bure! Katika Mizunguko ya Bure yenye gemu ya bonasi ya Kizidisho cha Muendelezo, utapata mizunguko 12 ya bure na kizidisho cha kuanza kwa moja, na kinaongezeka kwa moja kila baada ya kuzungusha. Endapo ukikusanya alama tatu za Cryptex wakati wa bonasi, basi utashinda mizunguko 12 ya ziada na utakuwa na nafasi ya kushinda mpaka mizunguko 60! Endapo ukiwasha Prize Picker, unapata nafasi ya kuchagua moja kati ya zawadi tatu.

Kitu kingine cha muhimu wewe kukifahamu ni kuwa sloti ya Da Vinci’s Treasure ina uhakika (RTP) wa 96.53%. Kwa hiyo inatakiwa kuwa ni gemu ya haki kabisa kuicheza ikiwa na malipo ya haki kabisa. Hii ni gemu yenye ubunifu wa kimapinduzi sana tukizungumzia suala la muonekano na uchezaji wa gemu kukiwa na idadi ya mizunguko ya bure ambayo unaweza kuipata, na kizidisho.

Kwa hakika inastahili kujaribiwa, usipoteze muda sasa!

Hapa unaweza kuona maelezo ya sloti za video.

2 Replies to “Da Vinci’s Treasure – kuwa mtafiti na upate hazina!”

Leave a Reply to Njiku Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *