Tunapata toleo la kuburudisha sana la gemu maarufu ya mtandaoni aina ya poka iitwayo Texas Hold’em. Casino Hold’em inakuja kwetu ikiwa imetoka kwa watengeneza gemu wa mtandaoni waitwao Evolution, na hii ni maarufu sana ikiwa ni gemu ya poka yenye karata tano. Ukiachana na ile Texas Hold’em ambayo inachezwa dhidi ya wateja, hii Casino Hold’em inachezwa dhidi ya upande wa nyumbani.

Casino Hold’em, texas hold’em, bonasi ya kasino mtandaoni

Casino Hold’em

Casino Hold’em

Lengo la gemu hii ni kumpiga dealer, kwa kupata karata tano mkononi kadri inavyowezekana. Kila mteja anakuwa na uwezo wa kupata siti moja pekee kwenye meza.

Hakuna ukomo wa wateja ambao wanaweza kushiriki katika meza moja. Gemu inachezwa kwa kikasha cha karata 52 za kawaida, jokeri hawahusiki.

Karata zinachanganywa katika kila mzunguko. Casino Hold’em – mkeka wa bonasi wa karata kadhaa za aina ya aces zitakupa wewe ushindi zaidi! Kuanza kucheza gemu unahitaji kuweka mkeka wa mwanzo (ante bet). Upekee wa gemu hii ni kuwa pia unaweza kuweka mkeka wa bonasi ambao unalipwa endapo utapatia pea za aces, au zaidi ya pea katika karata tano za kwanza. Dealer anahusika na karata mbili ambazo zinakuwa kwako, na kuwa kwake kwa upande mwingine. Karata tatu zinakuwa zimefunikwa katikati ya meza.

Karata tatu zinatumika katika kukamilisha zile za mkononi. Unatakiwa kuamua endapo unacheza mbili ama unaachana nazo. Endapo ukichagua mbili, unakuwa umefanya mkeka wako wa mwanzo kuwa ni mara mbili. Endapo ukiamua kukatisha mkeka unakuwa unacheza mkeka wako wa mwanzo. Kujitoa haiathiri mkeka wako wa bonasi.

Casino Hold’em, poka, bonasi za kasino mtandaoni,

Gemu ya poka maarufu sana ya mtandaoni

Gemu ya poka maarufu sana ya mtandaoni

Unapofanya maamuzi yako dealer atahusika na karata mbili zinazoitwa: ile ya turn card (karata ya sita) na karata nyingine (karata ya saba). Baada ya hapo, dealer atatoa tiketi zake mbili.

Mshindi anaamuliwa na muunganiko wa karata bora zaidi na kumlinganisha yeye na dealer aliyepo. Ili uone muunganiko mkubwa wa ushindi utatumia karata tano kati ya saba zilizopo. Dealers wanabadilika mara kwa mara katika gemu hii inayoburudisha na kubadilika badilika. Cheza gemu yako pendwa, dhidi ya dealer.

Weka mkeka wa bonasi na uongeze ushindi wako.

Kila la heri katika uhondo huu! Unaweza kuona maelezo ya gemu zingine za kasino mtandaoni ukiingia hapa.

18 Replies to “Casino Hold’em – inaongeza ushindi wako kwa mkeka wa bonasi!”

Leave a Reply to Khadija Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *