Book and Pearls Respins of Amun Re inakupeleka wewe kwenye jangwa la dhahabu likiwa na joto, mchanga, njia za kale mpaka kwenye jakpoti kubwa sana. Hii ni sloti ambayo ina aina mbili za gemu za bure, zisizo na ukomo wa marudiano na gemu ya bonasi ikiwa na mizunguko mingine baada ya ile ya kwanza. Na pia kuna sloti ambayo unaweza kushinda Super Ra Jackpot yenye thamani kubwa sana! Inapendeza, au siyo? Tunayo sloti ya video kutoka kwa wazalishaji gemu wanaoitwa Gamomat kukiwa na asilimia kubwa ya ushindi.

Gemu hii inachezwaje hasa? Hii ni sloti ya video yenye milolongo mitano, safu tatu na mistari mitano hadi kumi ya malipo. Alama katika gemu hii ni karata kutoka tisa hadi A, kisha nanga, meli, magurudumu, kengele, sehemu za hazina na boti ya wavuvi. Alama ya wavuvi ni jokeri, ambayo ianchukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za malipo ya kawaida. Alama ya kitabu na tunu ni scatters na kila moja inawasha mzunguko wakati ile ya dhahabu imewekwa alama ya bonasi ya sarafu.

Book and Pearls Respins of Amun Re, Gamomat, Kasino za Mtandaoni za Meridian, Maharamia, Amun Re

Book and Pearls Respins of Amun Re, Gamomat Bonasi zinazoshawishi!

Book and Pearls Respins of Amun Re ni gemu ambayo itakamata akili yako endapo unapenda amsha amsha za maharamia!

Aina ya kwanza ya gemu za bure inaendeshwa wakati kuna alama tatu au zaidi za scatters zinazotokea sehemu yoyote ya kwenye mlolongo katika mzunguko mmoja. Unapata gemu 15 za bure, ambazo zinaweza kuwashwa tena, pamoja na bonasi za sarafu, ambazo zinaweza kuongeza ushindi wako mpaka kufikia mara 100! Wakati wa kitufe hiki, milolongo ambayo haizunguki itabakia kuwa vile vile lakini mwishowe itaonekana pale upande wa juu kushoto kuelekea upande wa kona ya chini kulia.

Kila ushindi unazidishwa mara mbili. Aina ya pili ya gemu za bure inaendeshwa wakati alama tatu au zaidi za vitabu zinatokea katika mlolongo wowote kwenye mzunguko mmoja. Unapata mizunguko kumi ya bure ambayo inaweza kuwashwa tena. Kabla ya mzunguko wa bonasi kuanza alama moja kati ya kumi za kawaida au alama ya wild inachaguliwa kama alama maalum. Wakati kunapokuwa na sehemu ya kutosha kwenye mzunguko wa bure zitatanuka kwa wima na kuchukua sehemu yote ya muinuko ili kulipa safu zote zinazokuwepo pale. Inachukua angalau alama tatu za malipo ya chini au alama mbili za juu, sehemu yoyote ile kwenye kioo, kutanuka na kuleta faida.

Shinda jakpoti ya Super Ra ukiwa na Book and Pearls Respins of Amun Re! sehemu mpya ya sloti hii ni ile ya bonasi ya Respins of Amun-Re ambayo inawashwa wakati alama tano za bonasi zinapokelewa. Kisha unapata mizunguko mingine mitatu yenye uwezekano wa kupata alama mpya. Kila alama inakuwa na utambulisho kuwa ni Big, Mega, Monster au Legendary na itazawadiwa kwa jakpoti isiyobadilishika kwa mara 50x, 100x, 200x au 500x! Kwa kujaza eneo lote la mtandao lenye alama za bonasi utashinda Super Ra Jackpot ambayo ni bora kabisa, ina thamani ya zaidi ya mara 1,500 ya dau lako.

Book and Pearls Respins of Amun Re, Gamomat, Kasino ya Mtandaoni ya Meridian, Maharamia, Amun Re Gamomat

Book and Pearls Respins of Amun Re ni gemu ambayo itakamata akili yako endapo unapenda amsha amsha za maharamia!

Kwa kutazama ni kuwa sloti ya Gamomat ina vitufe viwili vya kubashiri ambavyo vinazawadiwa katika kila ushindi unaokuwepo pale.

Unaweza kuchagua karata nyekundu ama nyeusi ya dice au ukaingia katika dice ya ngazi ambako utajaribu kupanda kwenye usawa wa malipo yenye nafasi ya kushinda kwa uwezo wa 50/50. Hii ni gemu inayofurahisha sana ikiwa na muunganiko wa vidokezo vikubwa vitatu vya bonasi.

Usikose nafasi ya kupata burudani kubwa kwa kufurahia gemu ya Book and Pearls Respins of Amun Re!

Kutazama gemu zingine za jakpoti angalia hapa.

2 Replies to “Book and Pearls Respins inakuletea wewe jakpoti kubwa sana!”

Leave a Reply to Njiku Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *