Je, uko tayari kwa mchezo wa kipekee kwenye live casino unaofanyika ndani ya hekalu la kale la Misri? Mchezo tunaotaka kukuonyesha unafuata kanuni ya Pachinko, hivyo tayari unajua kuwa burudani iko mbele yako.
Crypt of Giza ni mchezo uliotolewa na mtoa huduma BetGames. Lengo la mchezo huu ni kushusha mpira kutoka juu hadi kufikia kizidisho kikubwa zaidi au kuwasha michezo ya bonasi. Wakati wa ku-sherekea umefika!

Tathmini ya Mchezo Crypt of Giza imegawanywa katika sehemu zifuatazo:
-
Maelezo mafupi ya mchezo
-
Mchezo mkuu
-
Michezo ya bonasi
-
Muonekano na sauti
Maelezo Mafupi ya Mchezo Crypt of Giza
Crypt of Giza ni mchezo wa kipekee unaofanana na Pachinko, ambapo mpira hurushwa kutoka juu, hupitia vizuizi mbalimbali na huangukia kwenye moja ya sehemu 15 zilizo chini kabisa.
Kuna nafasi za kizidisho na sehemu za michezo ya bonasi, hivyo mpira ukidondokea popote pale, kuna mshangao mkubwa unaokusubiri.
Mchezo Mkuu
Kuna sehemu maalum chini, na lengo la mchezo ni kubeti mpira utasimama kwenye sehemu gani. Wakati wa kubeeti ukimalizika, sehemu 15 zinaonekana ambapo mpira unaweza kusimama.
Katika sehemu hizo 15, sehemu 12 zitakuwa na vizidisho, na sehemu 3 zitakuwa na alama za bonasi. Mchezo huu uko kwenye kundi la Live Dealer, hivyo utakuwa na mwenyeji wa moja kwa moja anayezungumza nawe kabla ya droo. Ndiye atakayebofya kitufe cha kuanza mchezo.
Mpira ukisimama kwenye sehemu uliyoibetia, utalipwa kulingana na kizidisho cha sehemu hiyo.

Michezo ya Bonasi
Sehemu za bonasi zinawakilishwa na piramidi, jeneza, na farao. Mpira ukisimama kwenye moja ya sehemu kati ya hizo, mchezo wa bonasi utaanza.
1. Valley of the Gods – (Mpira kwenye jeneza)
Unachezwa kwa mpangilio uleule kama mchezo wa msingi, lakini kizidisho chake ni kikubwa zaidi. Unapata nafasi 6 za kushusha mpira. Lakini, kuna ishara ya nyoka chini — ukidondokea juu yake, mchezo wa bonasi unaisha.
Lengo ni kubashiri rangi ya sarafu ambayo mpira utasimama juu yake. Ukidondokea nyoka kwa mara ya kwanza, unapata kizidisho, lakini kila nyoka anayefuata anakatisha mchezo.
2. Gift of the Gods – (Mpira kwenye farao)
Mungu watatu wa Ki-Misri wataonekana, kila mmoja akiwa na kizidisho kilichofichwa. Lengo ni kuchagua yule mwenye kizidisho kikubwa zaidi. Lakini kuwa makini – muda wa kuchagua ni mdogo. Usipochagua mwenyewe, kompyuta itakuchagulia.
3. Wall of Secrets – (Mpira kwenye piramidi)
Utaona ukuta wenye maandishi 18 ya hieroglyph, kila herufi ikificha kizidisho. Lengo lako ni kuchagua sehemu yenye kizidisho kikubwa zaidi. Ukichagua, ukuta huo utaporomoka na kizidisho kilichochaguliwa kinakupatia ushindi.
Huduma ya Live Chat pia inapatikana, ambapo unaweza kuwasiliana na live dealer(Host) au wachezaji wengine.
Katika kona ya chini kushoto, kuna chaguo la kuweka dau lako. Pia, unaweza kuchagua ubora wa kamera. RTP ya nadharia ya mchezo huu ni 95.5%.
Muonekano na Sauti
Crypt of Giza umewekwa ndani ya pango la piramidi ya Ki-Misri. Wakati wa michezo ya bonasi, muonekano wa mchezo hubadilika. Muziki wa fumbo upo kila wakati unaocheza.
Michoro ya mchezo huu ni ya kuvutia sana. Furaha imehakikishwa, ni jukumu lako kucheza Crypt of Giza sasa!

Leave a Comment