Roulette Fazi | Dozi Kamili Ya Shangwe Na Unyama

0
1119
Michezo Ya Roulette | Roulette Games Online

Toleo jipya la mchezo maarufu zaidi wa kasino mkononi, Roulette, linakuja! Kutoka kwa muuandaji wa michezo hii ya kasino Fazi inakuja Roulette Fazi mpya, iliyotengenezwa vizuri!

Mchezo huu unaendeshwa kwa sheria zile zile za roulette ya kawaida. Pia, mchezo huu wa kasino unakupa chaguo la kupata bonasi zisizo na kifani.

Play Roulette online | Roulette online Games
Roulette Fazi

Ikiwa wewe ni mshabiki wa roulette, tafadhali tumia dakika chache kusoma makala hii fupi, ambayo inaelezea kwa kina mchezo wa Roulette Fazi. Tumeigawanya makala ya mchezo huu wa kasino katika sehemu kuu (4) nne:

  • Maelezo Kuhusu Toleo Hili La Roulette
  • Aina Za bets
  • Odds Za Mchezo Wa Roulette Fazi
  • Jackpoti Za Mchezo Huu

Maelezo Kuhusu Toleo Hili La Roulette

Tunachoweza kusema kuhusu mchezo huu ni kwamba unawakilisha moja ya michezo ya kisasa yenye kasi kubwa na mfumo wa uchezaji wa kipekee na rahisi kuelewa.

Tunapozungumza kuhusu mfumo wa uchezaji, kwenye meza ya roulette kuna njia mbili unazoweza kubetia pesa zako: kubetia kwenye eneo la namba na kubetia kwenye eneo la machaguo mengine kama rangi n.k.

Aina Za Bets

Unaweza kubashiri namba nzima, robo, nusu, sita, theluthi, na, bila shaka, safu nzima.

Tuce inawakilisha uchezaji katika sehemu tatu tofauti, ya kwanza inajumuisha namba zote kuanzia 1 hadi 12, ya pili inajumuisha namba zote kuanzia 13 hadi 24, na ya tatu inajumuisha namba zote kuanzia 25 hadi 36.

Pia unaweza kucheza kwenye namba zote kuanzia 1 hadi 18, vilevile nusu ya pili ya juu kuanzia 19 hadi 36. Bila shaka, pia kuna beti za rangi ya kawaida, hivyo unaweza kubetia chaguo la namba ifuatayo itakuwa nyeusi au nyekundu, pia unaweza kubetia namba inayofuata kama itakuwa namba ya shufwa au witiri.

Uki bonyeza kitufe cha “Race Bet“, meza ya mchezo wa roulette utabadili muonekano wake kutoka muenako wa kawaida na kuwa muonekano wa duara.

Mchezo wa Roulette | Online roulette
Bonasi ya kasino

Mtazamo wa duara utakuonyesha namba zilivyopangwa sawa na kwenye gurudumu la roulette yenyewe. Hapa utaweza kucheza mfululizo(series) na machaguo mengine mengi.

Ukiamua kucheza series, utakidhi kuweka beti/dau zifuatazo:

Sifuri: kubetia kwenye namba zilizo karibu na sifuri: 12, 35, 3, 26, 0, 32, 15

Vicini Series: Kubetia katika eneo la jirani la sifuri.

Orphanele: Hii ni dau/beti kwa namba kamili, pamoja na nusu kati ya 6 na 9, 14 na 17, 17 na 20, 31 na 34.

Series 5/8: Kubetia kwenye namba zote kwenye gurudumu la roulette kuanzia 27 hadi 33.

Nyoka Mwekundu: Beti hii inawakilisha dau za kwenye namba 12 nyekundu, ambazo wakati huo huo hujenga umbo la nyoka.

Dau za kipekee(Machaguo ya kipekee) ni aina za dau tofauti kidogo. Ikiwa utachagua moja ya dau hizo, unaweza kucheza beti zifuatazo:

Crown: Hapa unabetia kwenye namba iliyochaguliwa na maeneo yote karibu na hiyo namba.

Neighbours: Hapa unabetia kwenye namba iliyochaguliwa, lakini pia kwenye namba z za jirani yake.

Finale: Beti kwenye namba iliyochaguliwa, pamoja na beti kwenye namba zote kwenye meza ya roulette zinazoishia na namba ile ile ya mwisho.

Black Splits: Beti kwenye black splits saba: 8/11, 10/11, 10/13, 17/20, 26/29, 28/29, 28/31

Red Splits: Beti kwenye red splits nne: 9/12, 16/19, 18/21, 27/30

Odds Za Mchezo Wa Roulette Fazi

Tutataja odds kwa aina fulani za dau/beti unazoweza kuchagua. Tutazungumza hasa juu ya beti za kawaida:

  • Namba Kamili – dau hili linalipa kwa uwiano wa 35:1
  • Nusu inalipwa kwa uwiano wa 17:1
  • Theluthi moja inalipwa kwa uwiano wa 11:1
  • Robo inalipwa kwa uwiano wa 8:1
  • Nusu sita inalipwa kwa uwiano wa 5:1
  • Safu inalipwa kwa uwiano wa 2:1
  • Tuce pia inalipa 2:1
  • Odds hulipwa kwa uwiano wa 1:1
Play roulette Fazi | Roulette Games Online
Roulette Fazi Jackpot

Jackpoti Za Mchezo Huu

Upekee wa roulette hii ni kwamba unakupa aina tatu za jackpoti. Kwenye upande wa kushoto wa skrini, utaona jinsi jackpot inavyobadilika mara kwa mara huku namba au kiwango cha jackpoti kikongezeka.

Jackpoti ndogo ni dhahabu, ikifuatiwa na jackpot ya platinamu na Jackpoti ya almasi. Jackpoti hizi hugaiwa kwa nasibu na unaweza kushinda kwa  kiwango cha beti chochote utakachoweka.

Thamani ya jackpoti za kwenye mchezo wa Roulette Fazi inaweza kufikia mamilioni ya pesa za kitanzania. Jitahidi kucheza roulette hii ujishindie moja ya jackpoti hizi.

Mchezo umewekwa kwenye mandhari ya background nyeusi na juu ya uwanja wa kucheza utaona msichana akiwa kama muuzaji.

Roulette Fazi – cheza roulette na ushinde jackpoti!

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here