Untamed Giant Panda – ingia katika safari ya Asia!

8
1113
Untamed Giant Panda - ingia katika safari ya Asia!

Wanyama, panda, burudani ya kutosha na uhondo mkubwa. Vyote hivyo ni vitu ambavyo vimo katika gemu inayofurahisha sana. Endapo unatafuta gemu ambayo ina dhamira ya kufurahisha sana basi hii Untamed Giant Panda ni chaguo lako mahsusi kabisa: ingia katika uhondo kupitia mbuga za Asia kukiwa na moja ya wanyama ambao wanapendwa sana duniani, anaitwa panda wa Asia. Hiyo Untamed Giant Panda inakuja kutoka kwa watengenezaji wa gemu wanaoitwa “Microgaming”. Kukiwa na vionjo vya pekee tofauti tofauti, hii sloti ya video inakupa nafasi ya kushinda sana!

Untamed Giant Panda, bonasi ya kasino mtandaoni, mizunguko ya bure mtandaoni

Untamed Giant Panda
Untamed Giant Panda

Inapokuja suala la muonekano wa gemu hii utaridhika sana kwa hakika kabisa. Mbali ya hiyo, nafasi ya kushinda zipo kedekede. Untamed giant panda ina milolongo mitano na mistari mia mbili na arobaini na tatu ya malipo. Huyu giant panda anaweza kuwa siyo moja ya wanyama wa kutosha wa mwituni lakini gemu hii itaamsha sana hisia zako.

Muonekano wake ni wa kisasa sana na ubora wa sloti hii ya panda umo katika uoto wa asili kabisa. Muziki uliopo unajaza sana hisia zako masikioni na kwa pamoja inakupatia wewe hisia tamu sana zenye amani ya nafsi. Kutokana na idadi kubwa ya mistari ya malipo utashinda pale ambapo alama tatu za aina moja zinatokea katika molongo unaorandana. Wateja wanaweza kuongeza ushindi wao kwa kutumia kitufe cha kucheza kamari. Unapotengeneza faida, utapewa nafasi ya kuzidisha ushindi wako mpaka mara ishirini katika kitufe hiki! Katika kitufe hiki utawasilishiwa kioo cha rada kilichogawanyika katika sehemu mbili, moja nyekundu, na nyingine ni ya kijani. Unapokuwa unabonyeza na ikasimama katika ukanda wa kijani basi utashinda.

Kuna uwezekano wa kuongeza kizidisho endapo utatanua ukanda wa kijani katika kioo chake. Unaweza kucheza kitufe cha kucheza kamari mara nyingi katika safu husika. Unaweza kuwekeza angalau 50% ya ushindi wako wakati wowote ule ili kupunguza hatari ya kukosa pesa.

Untamed Giant Panda, kamari, bonasi ya kasino mtandaoni, mizunguko ya bure mtandaoni
Untamed Giant Panda, kamari, bonasi ya kasino mtandaoni, mizunguko ya bure mtandaoni

Kubeti

Untamed Giant Panda Untamed Giant Panda – kitufe maalum, kusanya kadi za mchezo! Kionjo kingine kisicho cha kawaida ni mkusanyaji wa jokeri aliyepo.

Alama za jokeri zinabadilisha alama zote isipokuwa zile za muunganiko wa ushindi. Pale chini ya kila muinuko kuna nafasi tupu nne ambazo zitajaza kadi za mchezo. Unapojaza katika pembenne za mlolongo mmoja basi ule mlolongo utajaza jokeri na milolongo mingine itazunguka mara nne ikitegemewa kwamba utashinda baadhi ya miunganiko. Alama pekee ambayo jokeri hawezi kuchukua nafasi yake ni alama ya scatter. Inaoneshwa katika muundo wa jicho la glasi kubwa. Endapo ukikusanya alama tatu au zaidi za aina hii kwa kila mlolongo utapokea mizunguko kumi ya bure mtandaoni. Jokeri watachukua nafasi kubwa sana katika mizunguko ya bure.

Wakati jokeri anatokea atakaa katika nafasi hiyo mpaka mizunguko ya bure mtandaoni itakapokamilika hivyo atasaidia katika kutengeneza miunganiko ya ushindi. Uhakika (RTP) wa sloti hii ya video ni mkubwa sana 96.32% ambayo inaweza kukupeleka katika ushindi mkubwa sana! Endapo wewe ni shabiki wa panda basi utaipenda sana hii gemu. Gemu hii inabadilika badilika, siku zote kitu fulani hutokea ndani yake na hii inafanya iwe ni gemu nzuri sana na yenye nafasi kibao miaka ya hivi karibuni.

Wapenzi wa mbuga za Asia, burudani kubwa na nafasi ya kutengeneza pesa kubwa inawangojea nyie! Maelezo ya kuhusu gemu zingine za kasino mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.

8 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here