Kila mtu anapenda hadithi za kale, hasa zile ambazo zinaishia katika mwisho mzuri wa kuvutia. Tunakuletea kwako hadithi nzuri sana ya kale – Pixie Wings, iliyotengenezwa kwa wazalishaji gemu wanaoitwa Pragmatic Play, na utaamua wewe mwisho wa hadithi hiyo tamu! Mbele yako ni mapambano makali kuwania himaya ya pixie lakini ni pixie mmoja pekee anayetakiwa kukaa kwenye himaya!
Kinachoifanya gemu hii ipendeze ni kwamba sloti hii inaunganisha rangi nzuri sana pamoja na dhamira zinazopendeza mno, zikiwa ni rahisi kueleweka, lakini wakati huo huo zinakuwa ni zenye ubora sana!
safu zake zimejaa pixie za kifalme zilizo bora kabisa, zinazolilia himaya iliyopo wakati alama zingine zote ni zile za sloti za kawaida. Kukiwa na mistari 50 ya malipo na safu tano, hii Pixie Wings itawapendezesha sana wateja wote ambao wanataka kuwa na mistari kibao ya malipo kadri inavyowezekana.
Pia, kuna chaguo kama la jokeri ya “Free Bonus Game” na mizunguko ya bure, hii sloti inastahili kuangaliwa mara mbili mbili.
Jokeri anawakilishwa na alama ya Pixie Wings ambayo inaweza kuchukua nafasi ya alama zingine isipokuwa ile ya alama ya bonasi. Alama tatu au zaidi za bonasi zilizopo sehemu yoyote ya safu zinawasha kitufe cha mizunguko ya bure. Kwa kila alama ya bonasi inayofikiwa wakati wa kupokea mizunguko ya bure unapata mzunguko mwingine wa bure!
Pixie Wings, Pragmatic Play, Bonasi za Kasino Mtandaoni
Chukua nafasi ya kupata mizunguko 12 ya bure katika Pixie Wings! Alama zote zinalipa kutoka kushoto hadi kulia kwa kutegemeana na idadi ya mistari.
Scatter inawakilishwa kwa alama ya mti, na wakati scatters tatu au zaidi zinapounganishwa kunakuwa na uwezekano wa mizunguko ya bure kufunguka! Hapo sasa utapewa chaguo la kuchagua moja kati ya machaguo matano kila mojawapo, ina alama tofauti na idadi ya mizunguko. Hivyo, endapo ukichagua kuwa ni king, unapokea mizunguko tisa ya bure, na ukichagua queen, kunakuwa na mizunguko saba ya bure!
Ukichagua mwana mfalme inakupa mizunguko tisa ya bure na ukichagua binti mfalme unapata mizunguko 11 ya bure na alama ya maajabu ambayo inabeba uwezekano wa kupata mizunguko mitatu hadi 12 ya bure…
Aina mbalimbali za ushindi!
Hivyo, endapo unataka kusepa kwenye uhalisia wakati fulani – zungusha sloti ya video ya Pixie Wings na uwe ni sehemu ya hadithi hii ya maajabu ya zamani…
Na uamini katika mwisho mwema!
Maelezo ya gemu za kasino mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.
Asanten sana Meridian jana nimepata sana hii
Asantee meridian kwakutuwekea michezo ya pesa
Mchezo safii huu
Waooohh waooohhh!!!!! Natamani kuexperience kidogo