John Hunter and the Tomb of the Scarab Queen!

2
1236
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/pragmatic-casino/vs25scarabqueen

Pragmatic Play inakupatia wewe gemu nzuri sana ya John Hunter and the Tomb of the Scarab Queen! Vitu vipo hivi: tunakwenda Misri ambapo tutaanza safari nzuri ya uhondo mkubwa tukisaka hazina za kale. Unachotakiwa kukipata ili uanze kuseti dau lako ukiwa na vitufe vya – / + na uzungushe mizunguko au ile autoplay.

John Hunter and the Tomb of the Scarab Queen, Pragmatic Play, John Hunter and the Tomb John Hunter and the Tomb, Pragmatic Play

The Scarab Queen ni alama muhimu ya wild ambayo itatokea katika milolongo miwili hadi mitano na ambayo ina nguvu ili kuchukua nafasi ya alama zote isipokuwa zile za Pyramid Scatter, alama ya pesa na alama ya kukusanya.

Sasa tunakuja katika alama ya msingi na ni kuwa alama ya piramidi ambayo kwetu sisi ni alama ya scatter inayofurahisha sana katika gemu hii inayopendeza. Ni kwanini tunapenda alama ya scatter na ni kwanini ina umuhimu hivyo? Sikia, ni alama ambayo inakupatia gemu za bure zikiwa na utokeaji wake! Ndiyo, umesoma kwa usahihi kabisa. Wakati wa gemu ya bure hela yetu haitatumika na ushindi unakusanywa. Inapendeza, siyo? Inafanyaje kazi katika gemu hii?

John Hunter and the Tomb – inashinda mizunguko isiyo na idadi! Ile Scatter Pyramid inatokea katika milolongo miwili, mitatu na minne na wakati ikiwa tunapata alama tatu au zaidi za scatter tunapata hiyo mizunguko ya bure! Kukiwa na scatters tatu utazawadiwa mizunguko nane lakini hiyo pekee haitoshi. Kitufe cha Money and Collect kinabakia kuwa kimewashwa wakati wa gemu za bure. Alama zote za Money zinazopatikana wakati wa mzunguko huu zinaongezwa kwenye chungu cha bonasi.

Baada ya kukamilisha mizunguko ya bure, thamani ya chungu itarudisha mlolongo mmoja hadi minne katika muundo wa alama kubwa ya pesa na mizunguko mingine ya mwisho itawashwa! Endapo ukifikia ile sehemu ya Collect katika mlolongo wa tano kwenye tukio, thamani ya chungu inalipa vyema. Scatters za ziada zitawasha mizunguko mingine ya bure na, hebu fikiria, hakuna ukomo wa idadi ya mizunguko unayoweza kupata!

John Hunter and the Tomb of the Scarab Queen, Pragmatic Play, Kasino ya Mtandaoni Meridian

John Hunter and the Tomb Pragmatic Play
John Hunter and the Tomb Pragmatic Play

Pia, kuna alama tano tofauti ambazo ni Collect, Extra Collect, Multiplier Collect, Expanding Collect na Respin Collect na kila moja wapo inakupatia zawadi!

John Hunter and the Tomb of the Scarab Queen, Pragmatic Play

John Hunter and the Tomb John Hunter and the Tomb, Pragmatic Play
John Hunter and the Tomb John Hunter and the Tomb, Pragmatic Play

Kukiwa na alama nyingi na machaguo bomba sana, kwa hakika gemu hii inastahili kupewa nafasi, ijaribu sasa! Hapa unaweza kuona maelezo mengine ya ofa ya gemu za kasino mtandaoni.

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here