Irish Coins – zidisha idadi ya mizunguko ya bure mtandaoni!

17
1464
Wapenzi wa bia na dansi ya Ireland mnaletewa kitu kizuri kwa ajili yenu! Chukua kikombe cha bia na uongeze idadi ya mizunguko ya bure!

Siku zote Ireland ni sehemu nzuri! Na gemu ya kasino ambayo inaleta amsha amsha katika anga la taifa hili la maajabu ni wazo zuri zaidi ya yote. Unaona hapo, ni ngumu kujizuia pale unapoitwa kwenye burudani isiyo na kifani, ambapo filimbi kwa msaada wa sarafu za Ireland zinakuwepo! Anaahidi kuwa atakuongoza wewe kwenda kwenye utajiri wa ndoto zako kubwa!

Wale wapenzi wa bia na dansi kutoka Ireland wanaletewa gemu mpya kwa ajili yao! Moja kati ya alama, mwanamke ambaye ana nywele nyekundu ambaye ni mzuri, anakusaimia kwa kukupa kikombe cha bia. Onja pafu moja la bia na ucheze sarafu za Ireland, sloti mpya ya video inakuja kwako ikiwa imetoka kwa watengeneza gemu waitwao Novomatic. Kwa upande wa nyuma kuna uwakilishi mzuri wa picha katika mwisho wa sehemu ya Ireland. Sloti hii ya video ina milolongo mitano na mistari ishirini ya malipo.

Tuna alama za karata ambazo ni nzuri sana ambazo zinawakilishwa kwa urahisi sana. Katapila na karafuu zikiwa na majani manne zinafuatia katika malipo. Kisha tuna bomba na msichana mzuri mwenye rangi nyekundu. Siyo tu kuwa huyu atakufurahisha kwa uzuri wake bali pia atakupatia wewe kikombe cha bia ili uburudike baada ya safari ndefu.

Alama inayofuatia ni mlevi wa Ireland akiwa na ndevu na kofia.

Irish Coins

Sarafu ya dhahabu ikiwa na karafuu ya aina yake ni alama ya wild ya gemu hii. Muunganiko wa sarafu hizi za dhahabu inaweza kukupatia wewe mpaka ushindi mara hamsini wa dau lako. Ni kweli kuwa alama ya wild inabadilisha alama zote za kawaida. Pia, jokeri ni alama pekee ambayo itakulipa kwa ajili ya alama mbili zilizopangwa katika mstari wa malipo, kwa ajili ya alama zote tatu ambazo ni kiwango cha chini.

Irish Coins – zambarau inazidisha mizunguko ya bure! Unachotakiwa kuwa na matumaini nacho ni kuwa wakati wa kutembelea kisiwa hicho cha aina yake utakutana na visima vya bluu ambapo ni alama za scatter za sloti hii. Visima hivi vitakupatia wewe mizunguko saba, kumi au ishirini ya bure mtandaoni kwa ajili ya alama tatu, nne au tano za aina hii katika milolongo.

Visima vya zambarau vinaweza kutokea katika mlolongo wa tano na pia vinaweza kuzidisha idadi yake kwa mziunguko ya bure mara mbili au mara tatu! Gemu ya bonasi ya Irish Coins inaweza kutokea wakati wa mizunguko ya bure mtandaoni na inakupatia wewe ushindi mkubwa zaidi. Baada ya kila muunganiko wa ushindi unaweza kuchagua endapo utaingia kwa kutumia ushindi wako ama kubashiri yaani kile kitufe cha gambling. Ili kufanya ushindi wako uwe ni mara mbili unahitaji kukisia endapo karata inayofuatia itatolewa kutoka katika kikasha kuwa itakuwa ni nyeusi ama nyekundu.

Muundo wa sloti hii uko poa sana, na uhakika (RTP) ni 95.19%, ambacho ni kitu kizuri kuliko dhamira zingine za sloti za Ireland. Visima vya maajabu ndiyo sababu kubwa ya wewe kutembelea sehemu hii ya kijani, hasa hasa endapo unamudu kuwa na sehemu katika kisima cha zambarau ambacho kitazidisha au kufanya iwe ni mara tatu ya idadi ya mizunguko ya bure unayoipata mtandaoni. Cheza dansi ya Ireland, burudisha akili yako ukiwa na kikombe cha bia na ushikilie visima vya furaha vilivyojaa sarafu za dhahabu!

Maelezo ya gemu zingine za sloti zinaonekana hapa.

17 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here