Immortal Romance – ukali wa maajabu na mahaba!

12
1559
Immortal Romance

Wasambazaji maarufu wa gemu ambao wamekuwa wakizalisha gemu za kasino zenye ubora mkubwa sana, Microgaming wakati huu wamekuja na kitu bomba zaidi ya vyote kwa kutengeneza bonge la gemu – sloti ya The Immortal Romance! Dhamira yake ni yenye kupendeza sana, hadithi ya mahaba, rekodi za sauti orijino, kwa maneno – ni sloti ambayo itakuacha mdomo wazi! Sloti ya video ya The Immortal Romance ni uhalisia wa mapenzi ya kweli!

Kwa mtazamo wa kwanza, dhamira yake inategemea katika hadithi ya sayansi, mahaba ya aina yake na uwepo wa mavampaya, ambazo ni maarufu sana. Muonekano wa picha na uhusika ni wa mtindo uliokamilika sana na wenye kutia hamasa. Immortal Romance ina muonekano wa nyuma ambao ni wa ajabu, wa kusadikika na mweusi, unavunja nguzo za rangi ya grei na ndani ya mipangilio kuna uhusika mkuu unaoonekana.

Mwangaza unaweza kuonekana juu ya sanamu ambapo inachangia kwenye uhondo wa sloti hii. Ni muhimu kutaja kuwa mapigo ya moyo yanasikika wakati unapoanzisha mizunguko. Habari nzuri ni kwamba kuna sauti halisi inayotengenezwa kwa ajili ya sloti ya The Immortal Romance, wakati kila sauti ina uhusiano na wahusika wa sloti hii! Utakubaliana nami kwamba hii ni ya kushangaza sana!

Bonasi za Kasino Mtandaoni

Immortal Romance

Gemu ina alama kuu nne, acha tuonane nazo! Immortal Romance – muunganiko wa maajabu, mahaba na bonasi! Amber ni mchawi wa huko Caribbean na imebarikiwa kuwa na nguvu za ajabu sana. Pembeni yake, kuna Sara, ambaye ni “mortal” rafiki yake wa utotoni na daktari wa wadudu. Kwa hakika, kuna wahusika wawili wa kiume – Michael, profesa wa vinasaba, na Troy, vampaya na wanawakilsha zile hali za kimaajabu za vampaya wawili wanaoonekana kuwa ni watu wa kawaida.

Ambacho haukifahamu kuhusiana na hili lakini unakisia ni kuwa: wahusika wote wanahusiana na siri, mapenzi na hamu! Muunganiko wa aina yake wa mahaba na matukio! Ni namna gani sloti hii kabambe inachezwa? Sloti ya video ya The Immortal Romance ina milolongo mitano katika safu tatu na mistari 243 ya malipo.

Kabla hujaingia katika hadithi hii ya kimahaba pangilia kazi zako na uzungushe kwenye kitufe cha upande wa kulia wa sloti. Unapofanya hivyo, vitufe vya kupendeza sana ambavyo vipo ndani ya sloti vinakuwa vinakusubiri wewe kama vile: kitufe cha Wild Wish na kitufe cha mizunguko ya bure – ile Spin Chamber maalum! Alama katika sloti hii ni wahusika halisi Amber, Sara, Michael na Troy, na kila mmoja ana uhusika wake maalum.

Kwa kuongezea, alama ya aina fulani ni nembo ya gemu, ambayo ni alama ya wild na inachukua nafasi zote za alama zilizopo isipokuwa ile ya scatter. Alama ya scatter ya sloti ya The Immortal Romance ni kiwakilishi cha mlango wa simba.

Chamber – mzunguko mzuri sana wa bonasi!

Ambacho kinatufurahisha sana katika hili ni namna ambavyo mizunguko ya bure inawashwa kwa kitufe chake. Chaguo la mizunguko ya bure linawashwa wakati unapopokea alama tatu au zaidi za scatter. Kisha mzunguko wa bonasi ambao ni maarufu kwa jina la Spin Chamber unaanza! Katika gemu ya Spin Chamber, kila mhusika katika sloti anakuwa na kazi yake maalum na inaleta bonasi za namna yake!

Acha tuanze kwa huyu Amber, anatoa zawadi ya mizunguko 10 ya bure kwa kizidisho cha X5 na chaguo la kuwasha mizunguko! Naye Troy anatoa mizunguko 15 ya bure ikiwa na kionjo cha “Vampire Bats” ambacho kinaweza kubadilisha alama kuwa ni kutoka kizidisho cha X2 au X3 na kuwa kinafanya kazi katika sehemu ya tano. Naye Michael anapatikana pale katika sehemu ya kumi na kutoa mizunguko 20 ya bure akiwa na kitufe cha “Rolling Reels” ambacho kinaweza kuongeza kizidisho hadi X5! Sara anapatikana katika sehemu ya kumi na tano na anazawadia mizunguko 25 ya bure, akiwa na kionjo kilichoongezwa cha Wild Vine ambacho kinaweza kuzungusha alama zilizopo kwenda kuwa jokeri bila ya mpangilio maalum endapo anatokea katika mlolongo wa tatu.

Bonasi za Kasino Mtandaoni, Immortal Romance

Immortal Romance

Wild Desire – shinda zaidi!

Kionjo kingine cha muhimu zaidi kwa sloti ya Immortal Romance ni kile cha “Wild Desire“, kinafanya kazi bila ya mpangilio katika gemu na kinaweza kuzungusha mpaka milolongo mitano kuwa katika hali ya wild au jokeri!

Hii inakupatia ushindi mpaka mara 1,500 zaidi ya dau la mteja! Inabamba, au siyo?

Kionjo cha mizunguko ya bure hakiwezi kuwashwa wakati wa chaguo la Wild Wish. Kutoka katika yote hayo hapo juu ni wazi kwamba kuna sabbau ya hii Immortal Romance kuwa ni gemu bomba kushinda zote katika Microgaming. Gemu ina kila kitu: vionjo vya maana, sauti halisi, maigizo poa, utamu, hamasa, lakini pia uhakika (RTP) wake ni 96.86%.

Immortal Romance inastahili kupata heshima ya juu sana! Unaweza kuona maelezo ya sloti zingine hapa.

12 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here