Book of Maya – chimba hazina zilizofichwa za Maya!

6
1226
https://meridianbet.co.tz/en/online-casino/game/green-tube-casino/733

Gemu hii inakuletea uhondo halisi wa safari na burudani isiyoingilika. Ingia katika safari kugundua hazina ya Maya iliyofichwa kukiwa na usaidizi wa video ya sloti ya Book of Maya ambayo inakuja kwetu kutoka kwa wazalishaji gemu waitwao Novomatic. Hii ni moja ya gemu maarufu sana na inaheshimika sana kuwa ni moja ya gemu za sloti za video zilizo bomba sana.

Book of Maya, hazina iliyofichwa ya Aztecs, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, mizunguko ya bure mtandaoni

Book of Maya
Book of Maya

Sloti hii ya video ina milolongo mitano ikiwa na mistari kumi ya malipo. Upande wa nyuma unaonesha nguzo katika hekalu la zamani la Maya kukiwa na nyingine nyingi kwenye hizo zilizopo, ambapo ziliwekwa karne na karne. Unaweza kuona majani ya mzabibu pia na miti ambayo inatoka katika hekalu, inakaribia kuchukua sehemu kubwa ya safu ya juu ya alama.

Moja ya alama zenye thamani ya juu ya miungu ya Maya, ambayo inachangia katika hisia kubwa za enzi za zamani za Maya. Hii Book of Maya ina sehemu ya autoplay, endapo ukichoka kuichezesha, na pia kuna kitufe maarufu sana cha kubashiri, ambapo unaweza kufanya ushindi wako uwe ni mara mbili! Book of Maya – kitabu cha dhahabu kinawasha mizunguko ya bure ya scatter zaidi au alama za scatter katika milolongo.

Alama ya scatter ya gemu hii ni kitabu cha dhahabu kukiwa na kito katika kava la mbele. Wakati unapopata alama tatu za scatters au zaidi utapokea mizunguko mingine ya bure mtandaoni ipatayo kumi. Kabla ya kuanza kwa chaguo la mizunguko ya bure utapokea alama ambayo itawakilisha alama ya wild katika kitufe hiki. Endapo katika kitufe hiki unapata alama ya wild ikiwa katika milolongo mitatu tofauti, alama ya wild itasambaa hadi kwenye milolongo yote mitatu na katika milolongo miwili iliyosalia ambayo ni mitupu utapokea mzunguko mwingine, endapo sanamu ya Maya inatokea katika wakati wa chaguo la mzunguko wa bure.

Hivyo, gemu hii inakupa nafasi ya ziada ya kushinda. Book of Maya, Mizunguko ya Bure Mtandaoni, Bonasi ya Kasino Mtandaoni, Vitabu vya Dhahabu

Book of Maya
Book of Maya

Sloti hii ya video ni nzuri kabisa na inaburudisha, utapata malipo ya haki kabisa katika safari yako ya kwenda kwenye hazina. Pengine kabila la Maya itakuchukua wewe kwenda kwenye nafasi ya kushinda sana!

Unaweza kuona maelezo kadhaa ya sloti zingine za video.

6 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here