Maana ya Sloti za Muendelezo

Moja kati ya vitu utakavyokutana navyo mtandaoni wakati unabashiri ni kitu kinachoitwa sloti za muendelezo (progressive jackpot slots). Lakini, je, nini maana ya jakpoti ya sloti ya muendelezo?

Iko hivi…

Maana ya jakpoti ya sloti ya muendelezo ni mashine ya sloti ambayo ina ongezeko la sehemu ya mikeka ili kuongeza uwezekano wa mteja kushinda jakpoti anapokuwa anacheza gemu fulani mtandaoni.

Pale mashine inapowashwa tena mara baada ya jakpoti ya muendelezo kuwa imeshinda, mashine hiyo ya sloti ya muendelezo inachaguliwa. Kutoka katika haya, sasa jakpoti inakuwa ikiongezeka kwa muendelezo ambapo kila mteja anazungusha milolongo yale; jakpoti ya muendelezo inakuwa kwa asilimia zinazoendana na namna mkeka ule ulivyo.

Inapatikanaje hii?

Kupatia jakpoti iliyo na mashine za sloti za muendelezo kunatokea kabla au wakati wa kiwango cha juu kabisa cha pesa, kwa sababu kila mashine ya sloti ya muendelezo ina jakpoti za kiwango cha juu cha muendelezo ambacho hakiwezi kuzidi hapo.

Pale ambapo kila jakpoti inalipwa, mchakato huu unaanza tena upya. Kwa hivyo, utaona kwamba sloti ya muendelezo ni maarufu sana kwa sababu zinakupatia wewe nafasi ya kipekee ya kushinda jakpoti kubwa zaidi ambazo zinakuwepo mahali pale.

Kupanda na kushuka kwake

Siku zote jakpoti itakuwa ikipanda tu endapo wateja watakuwa wakiweka mikeka yao katika michezo hiyo na itaendelea tu kupanda zaidi na zaidi mpaka pale jakpoti itakapofikia kiasi cha mwisho kabisa ambacho hakiwezi kuzidi zaidi ya hapo na mpaka pale ambapo jakpoti hiyo itanyakuliwa na mshindi atakayetokea.

Hii ndiyo tofauti ya jakpoti za kawaida na jakpoti hii ambapo kiwango cha juu cha jakpoti ya jumla kitakuwa hakibadiliki na hakitoongezeka kutokana na mizunguko iliyopo.

Jakpoti ya muendelezo inaongezeka kila mara pale ambapo wateja wanazungusha magurudumu ya kasino na asilimia ndogo ya sarafu zao itaenda katika droo kubwa la jakpoti ya muendelezo. Pale ambapo gemu inachezwa zaidi ndivyo ambavyo kiwango cha jakpoti kinaongezeka zaidi. Sloti maarufu ya muendelezo itakuwa na kiwango kikubwa cha jakpoti ambacho kina muendelezo ambao mara nyingi kinaweza kuwafanya watu wanaoicheza walale maskini na kuamka matajiri ndani ya siku moja.

Jakpoti

Ipo kwa kila sloti ama chache?

Sloti nyingi za jakpoti za muendelezo hazina jakpoti moja pekee lakini kunakuwa na nyingine nyingi sana zinazoongeza bei ya kila moja wapo. Gemu za sloti za muendelezo ambazo zinakupa wewe jakpoti nyingi za muendelezo zinatofautiana kutoka ile kubwa zaidi hadi ile ya chini zaidi. Bado, maana ya tafsiri moja na nyingine itakuwa ikitofautiana kwa gemu kwa gemu.

Kiwango cha jakpoti huwa kinaonekana katika kioo cha gemu husika na unaweza kujua namna kinavyopanda na kushuka.

Hapa unaweza kujionea ofa kibao za sloti za muendelezo ambazo zipo mtandaoni zikiwa zimeletwa na wasambazaji wakubwa wa michezo ya kasino mtandaoni katika sekta ya ubashiri wa mitandaoni.

Zipo za aina tofauti na ukubwa tofauti na hazifanani kwa ubora na uzuri wake. Hata hivyo, ninakushauri utumie kitufe cha free mode (fun mode) kabla hujaweka pesa yako kwanza ili upate uzoefu.

Angalia na ujionee leo.

30 Replies to “Maana ya Sloti za Muendelezo”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *