Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 11)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

House Edge – Faida ya kasino kwa wateja wake, inakuwa katika asilimia.

House Rules – Sheria za kasino kwa ajili ya sloti fulani ya video au gemu za mezani.

Inside Bets – Mikeka yote ambayo imebetiwa katika namba fulani.

Instant Casino – Kasino ambayo program yake haina ulazima wa kuihifadhi katika kiperuzi. Unacheza moja kwa moja kwneye tovuti.

Insurance – Mkeka unaotolewa kwa wateja wa Blackjack wakati karata yake ikiwa inatazama juu.

Itaendelea…

18 Replies to “Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 11)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *