Je, Ninatakiwa Kulipia Kodi Ushindi wa Mashine za Sloti?

Wote tumesikia uvumi kuhusu watu wengi wanaoshinda ushindi mnono na sisi pia tumekuwa washindi wakubwa kwa upande wetu. Hivyo umeshawahi kufikiria nini kinatokea unapopata ushindi mnono? Kwa sehemu nyingi michezo ya mashine inalipwa kwa njia ya fedha taslimu au mkono kwa mkono, wakati milio na taa za kumulika kwenye mashine zikionesha umeshinda pesa nyingi!

Lakini wachezaji wengi wamekuwa wakitamani kujua je wanatakiwa kulipa kodi kwenye ushindi wao wa mashine za sloti au lah. Hapa tutakupa taarifa zote muhimu unazohitaji.

Kodi kwenye Ushindi wa Mashine za Sloti kwa Tanzania

Ukiwa Tanzania na ukiwa mchezaji mwenye bahati ambaye umeshinda ushindi mnono au jakpoti – Lady Luck itakuwa upande wako. Kama ni jumla kuu basi utatakiwa kusubiri kidogo kipindi cha kulipwa na mara nyingi hii hufanyika kwa malipo ya pesa taslimu, lakini wanaweza pia kulipwa kwa huduma za pesa kwa njia ya simu kama M-Pesa, Tigo Pesa au Airtel Money (siyo wasimamizi wote wanatoa huduma hii).

Kubwa zaidi, hakuna makato ya kodi kwa wachezaji. Wasimamizi ndiyo wana jukumu la kulipa kodi kutoka kwenye pato lao moja kwa moja kwenda kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Inapotokea kuna jakpoti imeendelea kuna kodi imewekwa ambayo inatambulika kama kodi ya zuio.

Kwa mara nyingine, ni jukumu la msimamizi kuhakikisha wanakusanya kodi hiyo ya zuio na moja kwa moja kuiwasilisha kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa niaba ya mteja. Kodi inayotokana na ushindi au kodi ya zuio ni 20% tu ya kiasi kamili cha ushindi.

Unaweza kukata zile pesa zilizoliwa kwenye michezo ya sloti kutoka kwenye mapato ya kodi?

Habari njema ni kuwa utakatwa kwenye ushindi wa jakpoti pekee, na mbaya ni kwamba huwezi kutumia ulicholiwa kufidia ulichoshinda.

Kodi za Michezo ya Sloti Mtandaoni kwa Tanzania

Linapokuja suala la kucheza kasino mtandaoni kwa Tanzania suala la kodi linafanana kabisa na mfumo wa kawaida wa kasino. Wasimamizi wanakuwa na jukumu kwenye kuainisha kodi ya zuio kwenye ushindi wa jakpoti kwenye michezo ya sloti.

Unaweza kubaki na kujiamini kabisa kuwa ushindi wako uko salama na kiasi cha kodi ya zuio kitapelekwa kwenye Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kushiriki mizunguko yoyote ya kasino kwenye ile ambayo ipo kwenye mtandao wetu.

11 Replies to “Je, Ninatakiwa Kulipia Kodi Ushindi wa Mashine za Sloti?”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka