Namna ya Kutumia Mizunguko ya Bure

36
1306
Huwa inatokea unasikia kuwa fulani amezawadiwa mizunguko ya bure katika gemu za kasino mtandaoni! Hii ni nini na unaitumiaje kwa undani?

Huwa inatokea unasikia kuwa fulani amezawadiwa mizunguko ya bure katika gemu za kasino mtandaoni! Hii ni nini na unaitumiaje kwa undani?

Mara unapozawadiwa mizunguko ya bure katika gemu ya aina fulani ni wazi kuwa utapokea taarifa ya kupata mizunguko hiyo kabla hujaanza kuitumia.

Kuna aina mbili kiujumla za mizunguko ya bure. Aina hizi mbili zinatofautiana na kinachotokea pale unaposhinda ukiwa umeshazitumia.

Kuna mizunguko ya bure ambayo haina masharti na inapatikana mara kwa mara kwa wateja wanaofuzu vigezo husika katika aina ya promosheni ambayo inakuwepo hewani wakati husika.

Kundi la kwanza linajumuisha ushindi ambao umehamishiwa katika akaunti ya fedha taslimu punde tu unaposhinda ukiwa umeicheza. Hizi ni aina ya mizunguko ambayo haina masharti yoyote yale.

Aina nyingine ya mizunguko ya bure ni ile ambayo ina sharti la kuzungusha tena na tena. Baada ya kucheza mizunguko ya bure na kuimaliza utapokea ujumbe ukikutaka wewe uone ni kiasi gani cha pesa ambacho umeshinda, na vile vile ni hatua gani unapaswa kuzichukua ili kiwango chako cha pesa kihamie katika akaunti ya fedha taslimu.

Hii ina maana kwamba utatakiwa kujua ni mara ngapi unatakiwa kuzungusha tena na tena ili uipate hela yako.

Angalia taarifa zaidi za mizunguko ya bure na namna unavyoweza kuzitumia ukiwa nasi.

Bado una swali ju ya namna bora ya kuzitumia hizo ofa za mizunguko ya bure katika gemu za kasino mtandaoni?

Maelezo ya kina kuhusiana na gemu za kasino mtandaoni yanapatikana hapa.

36 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here