Zingatia Sana Haya Unapochagua Kasino ya Mtandaoni…

30
1666
Kitu cha muhimu wakati wa kuchagua kasino ya mtandaoni ni kuangalia endapo kampuni hiyo ya kasino inakubali wateja kutoka katika nchi ambayo upo unaishi. Ni vyema kuangalia suala hili kwa kuwasiliana na huduma kwa wateja au kupitia aina fulani ya wahudumu wa kasino ya mtandaoni ambao wamekuvutia

Kasino ya Mtandaoni – angalia usalama na ukweli wa kampuni!

Kitu cha muhimu wakati wa kuchagua kasino ya mtandaoni ni kuangalia endapo kampuni hiyo ya kasino inakubali wateja kutoka katika nchi ambayo upo unaishi. Ni vyema kuangalia suala hili kwa kuwasiliana na huduma kwa wateja au kupitia aina fulani ya wahudumu wa kasino ya mtandaoni ambao wamekuvutia.

Wakati unapokea jibu la uhakika kuhusiana na swali lako hilo unaruhusiwa sasa kucheza kwao katika kasino ukiwa mahali ambako wewe unaishi, unaweza kuwa na uhakika kwamba haki zako za msingi zinazingatiwa na kuhakikishiwa.

Kwanza kabisa, hakikisha kwamba usalama na uhalali wa kampuni unayochagua. Ni ngumu kuthibitisha jambo hili kwa sababu unakuta baadhi ya waendeshaji wanakuwa wanafuata sheria fulani. Hata hivyo, endapo sheria zao zipo katika tovuti yao basi hakika wanakuwa ni watu salama wa kuhusiana nao kwa ajili ya kucheza kasino yako.

Ili kasino ya mtandaoni na zile za madukani ziweze kufanya kazi vyema ni lazima iwe na leseni inayotoka katika mamlaka za taifa husika kuhusiana na ruhusa ya kuchezesha michezo hiyo ya kasino mtandaoni ama madukani.

Mamlaka hizo huwa zinawalindia haki wateja husika na kuwahakikishia usalama wao na mali zao katika ulimwengu wa kasino mtandaoni.

Kuna mamlaka kadha wa kadha za kuhusika na sheria za kasino mtandaoni ikiwemo Mamlaka ya Michezo ya Kubashiri Tanzania, The Malta Gaming Authority na The UK Gambling Commission. Kwa kuongezea ni kuwa leseni zinatolewa na majimbo ya huko Curaçao na Gibraltar. Ili uone leseni ya kampuni ambayo unataka kuhusika nayo unatakiwa kuangalia chini kabisa ya tovuti yao ambako kuna jina la leseni na mamlaka ambayo imetoa leseni hiyo.

Kisha angalia chini ya ukurasa mkuu kuona endapo kuna kitu kinachoitwa SSL yaani secure sockets layer. Kwa namna hii unakuwa una uhakika wa ukamilifu wa ulinzi wa mali zako na taarifa zako binasi kabla hujajiunga nao.

Usisahau kusoma hapa ili twende sawa.

30 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here