Sloti ya Siberian Wolf | Ushindi Hapa Sio Wa Kubahatisha!

0
28
Sloti ya Siberian Wolf | Michezo ya casino inayolipa vizuri zaidi | Red Rake casino games online
Sloti ya Siberian Wolf

Mbele yako ni adventure nyingine ya casino ya kuvutia kwa kipindi hiki. Je, wataka kujua ni kwa nini? Ni kutokana na hali ya hewa ya baridi na theluji(snow) iliyotuzunguka kila mahali kulingana na msimu huu wa baridi(Winter).

Siberian Wolf ni mchezo wa sloti ulioandaliwa kwa ustadi na wataarishaji wa michezo ya casinoRed Rake. Kwenye mchezo huu utafurahia alama zilizokusanywa, wilds zenye nguvu, na mizunguko ya bure. Utamu zaidi wa mchezo huu wa slots huambatana na bonasi za kasino zakushangaza zitakazo kuacha mdomo wazi.

Sloti ya Siberian Wolf | Casino slots online | Red Rake casino games
Sloti ya Siberian Wolf

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunapendekeza usome mwendelezo wa sloti ya Siberian Wolf.

Tumeugawanya ukaguzi wa mchezo huu katika sehemu kadhaa:

  • Taarifa za msingi
  • Alama za sloti ya Siberian Wolf
  • Michezo ya bonasi
  • Michoro na sauti

Taarifa za msingi

Siberian Wolf ni casino slot wenye safu tano. Mpangilio wa alama kwa safu ni 3-4-4-4-3, na sloti ina mistari 40 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, unahitaji kufananisha alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo.

Michanganyiko ya ushindi huhesabiwa kwa njia zote mbili. Ikiwa utashinda kutoka kushoto kwenda kulia au kutoka kulia kwenda kushoto, ushindi wako utalipwa.

Unaweza kupanta ushindi mmoja kwa mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una michanganyiko kadhaa wa ushindi kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa mchanganyiko wenye thamani ya juu zaidi.

Jumla ya ushindi inawezekana ikiwa utaiziunganisha mistari kadhaa ya malipo kwa wakati mmoja.

Katika sehemu ya dau, utaona kiasi kilichobaki cha pesa kwenye akaunti yako ya mtumiaji.

Ndani ya sehemu ya Total Bet kuna vitufe vya kuongeza(+) na kupunguza () ambavyo hutumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna huduma ya Autoplay ambayo unaweza kuianzisha wakati wowote unapotaka. Kupitia huduma hii unaweza kuweka hadi mizunguko 100.

Sauti huongezwa na kupunguzwa kwa kiwango kitakacho kufaa kwenye kona ya chini kushoto.

Alama za sloti ya Siberian Wolf

Tunapozungumza kuhusu alama za sloti hii, alama za kadi za kawaida huleta malipo ya thamani ndogo zaidi: 10, J, Q, K na A. Zimegawanywa katika makundi kadhaa kulingana na thamani ya malipo, na yenye thamani zaidi ni K na A.

Theluji(Snow) na nyayo za mbwa mwitu kwenye theluji ni alama zinazofuata kwa thamani ya malipo. Ikiwa utaunganisha alama tano kwenye mchanganyiko wa ushindi, utaapata mara x15 ya dau lako.

Alama ya mwezi ni alama inayofuata kwa thamani ya malipo. Ikiwa utaunganisha alama tano kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara x20 ya dau lako.

Alama yenye thamani zaidi kati ya alama za msingi ni mbwa mwitu wa Siberia. Ikiwa utaunganisha alama tano kwenye mchanganyiko wa ushindi, utaapata mara x25 ya dau lako.

Zaidi ya hayo, mbwa mwitu hujitokeza kama alama iliyokusanywa. Inaweza kuonyeshwa kwa sehemu au kikamilifu. Inaweza kuchukua safu nzima, hata safu kadhaa kwa wakati mmoja.

Michezo ya bonasi

Alama ya wild inawakilishwa na makucha ya dubu. Inachukua nafasi ya alama zote, isipokuwa zile maalum, na husaidia kuunda mchanganyiko mzuri wa ushindi.

Sloti ya Siberian Wolf | Bonasi ya kasino | Red Rake casino games
Alama ya Wild

Wakati huo huo, hii ni moja ya alama zenye thamani zaidi za mchezo. Alama tano za wild kwenye mchanganyiko wa ushindi huleta mara x125 ya dau lako.

Alama ya scatter inawakilishwa na ndege. Hii ndio alama pekee kwenye mchezo ambayo hulipa popote itakapoanguka kwenye safu, iwe kwenye mstari wa malipo au la.

Siberian Wolf | Bonasi za kasino | Scatter | Red Rake slots online
Alama ya Scatter

Ikiwa scatter tano zitaonekana kwenye safu, utashinda mara x50 ya dau lako.

Alama ya bonasi inawakilishwa na mbwa mwitu atakayeonekana kwa ukaribu. Alama hii huonekana kwenye safu ya pili, tatu na nne. Alama tatu kwenye safu zitakuletea mizunguko 7 ya bure.

Sloti ya Siberian Wolf | Mizunguko ya bure | Red Rake casino slots online
Mizunguko ya bure

Wakati wa mchezo wa bonasi, muundo wa sloti hubadilika. Wakati wowote alama ya bonus inapoonekana kwenye safu wakati wa mizunguko ya bure, utajishindia mzunguko mmoja wa ziada.

Kiwango cha mchezo huu wa sloti kurejesha ushindi kwa mteja(RTP) ni 94.4%.

Michoro na sauti

Siberian Wolf ina maandhari ya kuvutia yalizungukwa na theluji na barafu. Kwa kipinidi chote utakapo kuwa ukicheza sloti hii utafurahia, na kuburudishwa na muziki mzuri.

Michoro ya sloti ni bora sana, na alama zote zimewasilishwa kwa undani. Sauti nzuri zitakuliwaza kwa kila ushindi utakaopatikana.

Usikose adventure nyeupe ya theluji kwenye jukwaa namba moja la kasino Tanzania! Cheza sloti ya Siberian Wolf kisha utupatie maoni yako!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here