Leo tutaona zile sloti 5 za mtandaoni ambazo zimetokana na hamasa za muvi mbalimbali maarufu duniani.
Haya ni maelezo ya ufupi ya gemu hizo.
Ni hakika kuwa sloti za mtandaoni zinabamba sana hasa zile za kwenye makundi ya gemu za kasino mtandaoni.
Watengenezaji wa gemu wamekuwa wakipata hamasa kutoka katika mambo na matukio mbalimbali ya kihistoria. Tuna sloti ambazo zimetokana na hamasa ya mambo ya huko Misri au dhamira za huko Ugiriki, pia kule China… Sloti ambazo zimetokana na vitabu na hadithi za vitabuni. Kwa hakika tunaweza kutaja mambo mengi sana ambayo yamekuwa ni hamasa kwa watengeneza sloti hao. Hata hivyo, katika makala hii na zingine zijazo tutaangalia zaidi kuhusiana na sloti ambazo zimetokana na watengeneza filamu duniani. Hivyo, tunakuletea sloti 5 ambazo zimetokana na muvi.
Tunapotaja neno Transylvania, inajulikana sana kwa kuwa sehemu ya kwanza kuhusiana nayo. Siku zote Count Dracula imekuwa ni hamasa kubwa kwa uzalishaji wa filamu nyingi sana na wakati huu inaonekana katika sloti kubwa ya video.
Gemu imepangwa katika milolongo mitatu na mistari 12 ya malipo. Mafuvu na vitu mbalimbali vya kutisha vimewekwa katika sehemu ya nyuma ya sloti hii. Kitu kimoja ambacho kinaileta gemu hii ili iwe mbele zaidi ya zingine. Gemu ina mizunguko minne ya bure iliyogawanyika vyema. Sehemu ya kwanza ya mizunguko ya bure itakupa wewe mizunguko 15 ya bure na kizidisho cha 5.
Ya pili itakupatia mizunguko 15 ya bure na alama maalum ya bonasi. Ya tatu itakupatia pia mizunguko 15 ya bure lakini alama maalum ya jokeri inayotokea katika mlolongo wa tano. Na ya nne inakupatia mizunguko 15 ya bure lakini pia kizidisho cha muendelezo. Kama ambavyo muvi hiyo ina ukomo fulani basi na sloti hii ina ukomo fulani ikiwa na vionjo kadha wa kadha vya bonasi
Ijaribu hii, hakika hii Transylvania na hekalu la Count Dracula linaleta burudani nzuri!
Safi sana#meridianbettz
Hii gemu hipo poa sana
Casino hizi zurisana
Inapendeza Sana #meridianbet
Asanteh meridianbet mna michezo bomba
Sloti za kupiga pesa
Kasino safii
ni hakika slot za mtandaon zinabam a sana
Hiii si yakukosaaaa
Safii sana
Kasino ya kijanja
Hamna wapizani haswa kwenye slot
imekaa poa
Kasino bombaa
Kitu cha mootoo ndani ya meridianbet.
ipo vzur sana
Casino ya pesa hakosi mtu hapa
sloat mtandaon
Casino nzr xna
Casino Bora
Hii si yakukosa