Sloti 5 za Mtandaoni Zilizotokana na Muvi!

22
1518
Lara Croft

Leo tutaona zile sloti 5 za mtandaoni ambazo zimetokana na hamasa za muvi mbalimbali maarufu duniani.

Haya ni maelezo ya ufupi ya gemu hizo.

Ni hakika kuwa sloti za mtandaoni zinabamba sana hasa zile za kwenye makundi ya gemu za kasino mtandaoni.

Watengenezaji wa gemu wamekuwa wakipata hamasa kutoka katika mambo na matukio mbalimbali ya kihistoria. Tuna sloti ambazo zimetokana na hamasa ya mambo ya huko Misri au dhamira za huko Ugiriki, pia kule China… Sloti ambazo zimetokana na vitabu na hadithi za vitabuni. Kwa hakika tunaweza kutaja mambo mengi sana ambayo yamekuwa ni hamasa kwa watengeneza sloti hao. Hata hivyo, katika makala hii na zingine zijazo tutaangalia zaidi kuhusiana na sloti ambazo zimetokana na watengeneza filamu duniani. Hivyo, tunakuletea sloti 5 ambazo zimetokana na muvi.

  1. Lara Croft Temples and Tombs, Microgaming

Unaikumbuka muvi ya Lara Croft iliyoigizwa na Angelina Jolie? Muvi hiyo maarufu sana ya uvamizi imetumika kama hamasa ya kutengeneza sloti kubwa ya video. Sloti hii ya video imekuwa ni yenye milolongo mitano na mistari ya malipo mingi ipatayo 243.

Katika alama zake maalum ni kwamba tunazo wildcards pamoja na scatters. Scatters tatu zinaleta mizunguko nane ya bure. Kitufe maalum cha mawimbi kinawashwa baada ya kila muunganiko wa ushindi.

Alama za ushindi zinaondolewa na nyingine mpya zinakuja katika nafasi zake zikijaribu kuongeza mlolongo wa ushindi. Kila mlolongo wa ushindi ambazo unafuatana unazalisha vizidisho vingi na vikubwa.

Gemu inazo jakpoti tatu ambapo inaifanya iwe ni yenye kupendeza sana. Muziki ni wa kipekee na gemu yenyewe inafanyika katika pango lenye giza kukiwa na mawe pembeni ya miinuko.

Tembelea hekalu maarufu katika sloti hii ya video na ufurahie ukiwa na Lara Croft!

22 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here