Sheria na Dau: Ruleti ya Kasino Mtandaoni

41
1338
Ruleti ya kasino mtandaoni ni gemu ya kukisiwa ambayo mpira unaangukia katika namba za kwenye silinda, kukiwa na msaada wa mfumo unaopangilia namba bila ya mpangilio maalum.

Ruleti ya kasino mtandaoni ni gemu ya kukisiwa ambayo mpira unaangukia katika namba za kwenye silinda, kukiwa na msaada wa mfumo unaopangilia namba bila ya mpangilio maalum.

Maelezo mafupi ya sheria na aina ya kazi zake. Dau linakuwa na mikeka ya ndani na ya nje.

Mikeka ya ndani ni ile ambayo inawekwa nje ya namba zilizopo katika jedwali.

Zinafuata habari za namna inavyofanya kazi na kuonekana:

Red-Black (inalipa 1: 1) – hapa mteja anabetia kuwa mpira utakaoanguka utakuwa umedondokea katika rangi nyeusi ama nyekundu.

Namba ya kijani 0 haihesabiki.

Namba ambayo ni bigger-smaller (inalipa 1: 1) – mkeka unabetia katika namba ndogo (kutoka 1 hadi 18) au iwe namba kubwa (kutoka 19 hadi 36).

  • Even-odd (inalipa 1: 1) – mteja anabetia kwenye mpira kuishia katika namba ambayo ni shufwa ama witiri.
  • Third (dazani) (inalipa 2: 1) – mteja anachagua kati ya dazani tatu (kila dazani ina namba 12). Ile third ya kwanza inachukua nafasi ya namba 1 hadi 12, ile second inaanzia 13 hadi 24 na ile third inaanzia 25 hadi 36.
  • Column (inalipa 2: 1) –kila column inahusisha namba 12. Mteja anachagua endapo anabetia kwenye safu ya kwanza, pili, au tatu.

Mikeka ya ndani inahusisha kubetia kwenye namba au namba ambazo zinakuwa zimezunguka, ambazo ni:

Dau katika namba moja (inalipa 35: 1) – malipo makubwa, endapo mteja anachagua namba sahihi.

Kiwango cha juu na cha chini cha dau kimeorodheshwa pale kwenye jedwali.

Mikeka tofauti (namba mbili) (inalipa 17: 1) – mteja anabetia kati ya namba mbili zilizo katika sehemu sawa kwa kuziwekea tokeni kwenye mstari ambao unazitenganisha hizo namba.

Dau la kiwango cha chini na cha juu ni mara mbili ya dau la kwenye namba moja.

  • “Street” (namba tatu) (inalipa 11: 1) – mkeka huu unawekwa katika mstari chini ya namba tatu zilizochaguliwa. Dau la juu na la chini kwa hapa ni mara tatu kuliko lile la kwenye namba moja.
  • “Corner” (namba nne) (inalipa 8: 1) – mkeka huu unawekwa katikati ya namba nne kamili ambazo zipo.
  • “Line” (inalipa 6: 1) – mkeka huu unaunganisha “streets” mbili zinazochukua namba sita.
  • Unaweza kucheza Titan Roulette na kujaribu kuona kazi za hicho kitu nilichowaonesha hapo juu katika makala hii.

Maelezo ya kuhusiana na gemu za ruleti za kasino mtandaoni yanaweza kuonekana hapa.

41 COMMENTS

  1. Roulette ni mchezo mzuri sana wa kubashiri namba zikiwa 36 inabidi kubashiri namba moja itoke na vile vile naweza kubashiri kupitia dozen zake (outside bet) hivyo basi si wakukosa huu

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here