Maneno: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 9)

23
1560
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Flop – Neno linalotumika katika gemu za poka, inatumika sana katika poka ya Texas Hold’Em. Inaonesha karata tatu za kwanza ambazo zinafunguliwa katika tiketi.

Fold – Fold inatokea wakati unaondoka katika upangiliaji wa mikeka yako na kupoteza ule mkeka uliobetia. Neno hili linatumika sana katika gemu za karata.

Free Spins – Mizunguko ya bure inazawadiwa kwako kutoka kwenye kasino, au unazifanya itokee wewe mwenyewe katika sloti husika, endapo ukipokea mizunguko mitatu ya bure au alama zaidi zinazofanana. Hii haiwezi kukugharimu chochote.

Freeroll Tournament – Mashindano ambayo hayahitaji malipo yoyote ili kushiriki katika kushindana.

Game Software – Wazalishaji wa gemu, watengenezaji wa gemu fulani za kasino.

Itaendelea…

23 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here