Mamilioni Ya Mchezo Wa Aviator | Meridianbet Kasino

0
1240
ChezaAvitaor Online casino

Breaking News!! Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Meridianbet imefanikiwa kumwaga utajiri kwa vijana wawili kutoka Iringa na Dar Es Salaam.

Mchezo wa Aviator Online Casino
Jiunge ucheze aviator Kasino

Haikuwa rahisi kwao hata kidogo lakini hawakukata tamaa tangu waanze kuwa wanafamilia wa Meridianbet, haswa michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni kwa sababu waliishi na ndoto kuwa siku moja watapiga kibunda kirefu na dunia kuwajua.

 

Vijana hawa wa Kitanzania kutoka mikoa yenye rasilimali nyingi za kiuchumi ikiwemo mashamba makubwa ya miti, Iringa ukanda wenye hali ya hewa nzuri kama upo Ulaya. Mchezo wa Aviator ni moja ya michezo inayopatina kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unapendwa sana na wachezaji wengi wa kasino ya mtandaoni kwa sababu ni rahisi kucheza na kushinda.

 

Kwa majina anafahamika kama D.M alianza safari ya kuusaka utajiri kwa kurusha ndege ya Aviator kwa mtaji (dau) wake wa Tsh 50,000/= huku akitua kwenye vituo mbalimbali na kukusanya maokoto kila kituo na mwisho wa safari alikusanya kibunda Zaidi ya Tsh 250,000,000/=

 

Wakati huo mteja mwingine kutoka Dar Es Salaam anatambulika kama K.B yeye kwa upande wake alivuta mkwanja wa Tsh 30,000,000/= kwa dau dogo sana.

 

Meridianbet kitengo cha masoko baada ya kupata taarifa za mshindi huyu iliamua kumtafuta kufahamu kipi kilimshawishi kucheza kasino ya mtandaoni.

 

“Ninapenda mchezo wa Aviator ni moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni niupendao kwani ni rahisi kucheza na kushinda pia ndege ikiruka tu unaanza kuhesabu hela kabla ya kudondoka unatakiwa uwe ushakusanya maokoto yako” D.M kutoka Iringa mshindi wa Zaidi ya Tsh 250,000,000/=

 

Meridianbet hawana kabisa jambo dogo kila kukicha wanakuja na ofa, promosheni na bonasi kibao kwa wateja wake wanaobeti hupatiwa odds kubwa, kasino ya mtandaoni pia ina michezo ya sloti mashine, kufurahia huduma hizi jiunge na Meridianbet.

 

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here