Maelezo ya Paylines and Pay Tables: Unatakiwa Ucheze Mistari Mingapi?

7
1266
Four Times Pay - Slot Machine Paylines - Tanzania

Linapokuja suala la sloti za kisasa na hasa sloti za mtandaoni – kuna machaguo mengi ya ishara, alama, namna ya kushinda na aina za bonasi zilizopo. Kila sloti ina aina yake ya kuonesha taarifa na inapatikana kwenye pay table kwenye kila sloti ya mtandaoni. Utakapochagua mchezo upi ucheze – unatakiwa ufahamu kila kitu unachotakiwa kujua kucheza Pay Tables and Paylines.

Ukishafahamu vitufe hivyo tofauti hutumika, utakuwa na uwezo wa kuona ofa za kila sloti kwa pay tables na paylines na utakuwa na uwezo wa kuelewa kila sloti ya mtandaoni. Hii hapa ni namna ya kuchagua mistari mingapi unayotaka kuicheza.

Sloti Mashine ya Mtandaoni: Maelezo ya Paylines

Kwa maana, payline ni mstari halisi ambao alama inaweza kutua hapo, na ikitua kwenye mstari huo na mfumo maalum au muunganiko inapelekea ushindi kwenye sloti husika. Namba ya mistari inategemea uwiano wa sloti mashine kutoka mistari 1 hadi 1024.

Kama umewahi kupata nafasi kwenye kasino ya nadukani, duka la sloti au hata kucheza kasino mtandaoni  utakuwa umefahamu kuwa michezo mingi ni sloti za video. Kama hukupata nafasi ya kucheza, utakuwa unajiuliza zinafanya vipi kazi tofauti na sloti za kawaida. Jaribu kuongeza ujuzi wako wa mashine za sloti kwani upande wa paylines na pay tables inaweza kuwa kazi ngumu kwako kwenye mbinu za mchezo, lakini tunaenda kukuelewesha na hii ni kwa ajili yako hivyo hupaswi kutumia pesa kutatua hilo.

Kama utatoa bonasi mbalimbali na mizunguko ya bure na alama zote – kitu pekee kitakachosalia ni paylines. karibu 100% ya sloti zote (sloti za mtandaoni na sloti za madukani) zina paylines.  Mara chache na huwa inatokewa muda kwa muda pale mashine za sloti ambayo haifuati sheria za paylines – lakini kwa sasa, tunahakikisha sloti zote zinafanya hivyo!

Sloti ya Mstari Mmoja Mmoja v Sloti ya Mistari Mingi

Sloti za mistari mingi zinakupa nafasi kubwa ya kufikia muunganiko wa ushindi na matokeo yake huwa ni burudani tosha na huvutia wateja. Kila mara, ushindi ni mdogo lakini unakuja kila wakati. Kwa aina nyingine kama jina linavyojieleza – sloti ya mstari mmoja mmoja ambayo pia inajulikana kama sloti bomba ilikuwepo tangu casino ya kwanza inafunguliwa. Ni sloti rahisi sana ambapo inahitaji muunganiko kuonekana kwenye mstari maalum.

Miongozo na Malengo ya  Mistari ya Malipo na Ushindi

Linapokuja suala la mistari ya malipo, kuna njia kadhaa ambazo sloti zinaweza kulipa wakati miunganiko inapoonekana kwenye skrini, hapa tutaangalia kwa ukaribu baadhi yake:

  1. Ushindi wa Kutoka Kushoto Kwenda Kulia – Huu ndiyo muelekeo wa kawaida wa malipo na ushindi kwa sloti zote. Kwa kifupi, inamaanisha kuwa alama zinahitaji kuonekana na kujipanga kutoka upande wa kushoto wa skrini kwenda upande wa kulia wa skrini. Alama yoyote ya alama inayofanana na mfululizo huo itaongeza ushindi
  2. Ushindi wa Kutoka Kulia Kwenda Kushoto – Hii ni tofauti kabisa na mistari ya malipo na ushindi iliyoelezwa hapo juu, ambapo alama zitahitaji kuanza kutoka kwenye jedwali kuelekea hadi upande wa kulia wa skrini na ziendelee katika mstari kuelekea upande wa kushoto.
  3. Ushindi wa Njia Zote Mbili – Katika michezo ya Malipo ya Njia Zote, mchanganyiko wowote wa alama kutoka kulia kwenda kushoto au kushoto kwenda kulia utahesabika kama ushindi kwenye mistari hii ya malipo. Kwa ujumla kuna aina chache tu za michezo ambayo hulipa kulia kwenda kushoto, kwa hivyo ikiwa utapata mojawapo ambayo inalipa kulia kwenda kushoto, inawezekana ikawa inalipa njia zote mbili.
  4. Ushindi wa Njia zote – Aina hizi za michezo kwa ujumla hurejelea michezo iliyo na zaidi ya mistari 100 ya malipo. Maarufu zaidi kati ya michezo hii ni ambayo ina njia 243 za kushinda. Kwa hivyo ikiwa unayo alama zozote zinayolingana kwenye mpangilio wowote kwenye jedwali na inaanzia kushoto kwenda kulia, utakuwa umepata mchanganyiko wa ushindi. Ni rahisi zaidi kushinda kwenye michezo hii haswa ikiwa unapenda kuona mchanganyiko wa aina 5.
  5. Ushindi wa Malipo ya Mafungu – Michezo ambayo malipo yake huzingatiwa kwa mafungu inamaanisha kuwa alama zinatakiwa kuonekana katika mpangilio wa kuunganika na kila mmoja, kwa ujumla ni kwenye vipande 3 au zaidi. Hii inaweza kuwa ni vipande 2 vinavyoonekana juu ya kila moja na kitalu kimoja ya kinachounganisha kila upande.

 

Paylines & Paytables Tanzania Online Casino

Kwa hivyo, je, ninatakiwa kucheza kucheza mistari mingapi?

Jambo muhimu zaidi linapokuja kwenye sloti za mtandaoni ni idadi ya mistari ya malipo, kwa sababu ili kushinda – utahitajika kuhakikisha kuwa unapatia idadi sahihi ya alama kwenye mistari ya malipo inayotakiwa. Kwa hivyo ikiwa unajiuliza ni mistari mingapi unapaswa kucheza – tuna majibu yote kwa ajili yako!

Kwa kuchagua mchezo wenye idadi ya chini ya mistari ya malipo, ni kwamba unachagua kupata ushindi mdogo mara kwa mara. Ikiwa kwa upande mwingine, unacheza mchezo yenye mistari mingi ya malipo lakini ukachagua tu kucheza michache, utaishia kujipunguzia uwezekano wa kushinda pia. Kwa hivyo ili kupata ushindi mkubwa kadri iwezekanavyo, unatakiwa kucheza mistari yote ya malipo inayoonekana kwenye skrini.

Michezo mingi ya jakpoti, inakuhitaji wewe uweze kucheza mistari yote ya malipo kadri iwezekanavyo ili kujiweka kwenye nafasi ya ya kushinda tuzo kubwa. Hata hivyo, ni muhimu kuhakikisha kuwa unacheza kile ambacho unaweza kumudu ili iwe rahisi kufanya maamuzi ya aina gani ya mchezo unaopendelea.

7 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here