Kasino Bora Zilizotokana na Dhamira za Kutisha

26
1634
Hoard

Hofu ni moja ya hisia za muhimu kwa binadamu yeyote yule. Inatokea kutokana na hisia ambazo unakuwa nazo au matarajio yanayojitokeza nyakati fulani maishani kutokana na tukio halisi ama la kufikirika tu ambalo linatia mashaka ama kuogopesha, wakati mwingine huwa ni tukio la kutisha sana.

Ni mfumo wa mwili ambao unamlinda mtu dhidi ya kupatwa na mabaya yanayoweza kutokea endapo akipuuzia. Pia, hofu hutokea kwa watoto wadogo katika nyakati zao za ukuaji wakati wa utoto na ukuaji wao. Inatumika sana katika kuonesha uhusika wa wanaoigiza filamu mbalimbali na hata vitabu na tamthilia zilizotungwa katika hyakati tofauti maishani mwetu.

Utengenezaji wa wahusika hawa na wasanii mbalimbali unakuwa ni wenye nguvu sana na kwamba muelekeo mpya unatokea katika hisia za namna hii, zote katika sinema na hata uandishi wa sanaa mbalimbali.

Dhamira ya kutia hofu huwa ni yenye nguvu sana ambapo filamu nyingi na vitabu vinakuwa maarufu sana kutokana na hizo ambapo imefanya zitumike sana katika uhusika mbalimbali.

Bila shaka, watengenezaji wa gemu wameona kwamba mada hii ina mvuto wa aina yake na unaburudisha mno. Hivyo, nasi lazima tukuoneshe sloti za mtandaoni ambazo zimetokana na dhamira za kuogopesha na kutisha. Twende taratibu hatua kwa hatua…

Zombie Hoard, Microgaming

Uwakilishi mwingine wa kutoka kwa wasambazaji wa Microgaming unakuja kwako na katika orodha hii. Ni hakika kabisa, watengenezaji wa gemu hii wanavutiwa sana na dhamira za kutisha. Kwa wakati huo huo, hii ni sloti pekee ambayo inahusiana na mazombi katika orodha hii.

Hii Zombie Hoard ina milolongo mitano na mistari tisa ya malipo. Mbali ya alama bomba za karata, zile alama zingine zote zinawakilishwa kwa mazombi, hivyo tuna mhudumu ambaye ni zombie, nesi, polisi na mpishi.

Jokeri anawakilishwa na nembo ikiwa na maelezo ya gemu husika, na alama ya scatter ni ubongo wa binadamu.

Unapata nafasi ya mizunguko ya bure katika namna mbili, ya kwanza ni bomba sana – endapo alama tatu au zaidi za scatter zinatokea katika mlolongo wako. Namna nyingine ni kukusanya alama ya ubongo wakati wa gemu yenyewe. Zinakusanyika katika upande wa juu wa kona juu ya miinuko.

Wakati ukifikia namba 30 unawasha kitufe cha mzunguko wa mizunguko ya bure. Wakati wa kipindi hiki, mazombi yanashangilia kwa kila ushindi. Wakati wa mzunguko wa mizunguko ya bure, zile wildcards zinaweza kutokea na kugandishwa na hivyo kuchukua nafasi ya uhalisia wote.

Malipo ya kiwango cha juu yanayowezekana wakati wa mzunguko mmoja ni mpaka kufikia mara 2,388 ya dau lako! Kwa namna fulani sloti hii inaunganisha kwa usahihi kabisa mambo ya kutisha na kuchekesha. Kuna burudani sana, na mapato yake hayaendi bure bila kutambuliwa.

Unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuzungusha mzunguko!

26 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here