Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 5)

20
1618
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Cashier – Chaguo linalotumiwa na mteja katika kuhamisha pesa zake – kuweka na kutoa pesa.

Casino Adventage (House Edge) – Faida ya sehemu ya kasino ya mtandaoni ambayo inakuwa kwa ajili ya mteja wake husika.

Casino Tournament – A casino tournament ni aina ya mashindano ambayo unacheza gemu za sloti, au gemu za mezani, kukiwa na lengo la kuwa bora zaidi. Mteja anayefunga kwa kuwa na alama zaidi anakuwa na zawadi kutoka katika mashindano, pesa halisi au pesa za bonasi.

Chips – Tokeni ambazo zinatumika badala ya pesa halisi katika kubashiri.

Classic Slots – Classic slots ni, kwa sheria kuu, sloti za zamani ambazo siku zote zina safu tatu. Hizi ni gemu za kwanza kutokea katika kasino za mtandaoni, na zinajulikana kama “Vegas slots” na “fruit machines”.

Itaendelea…

20 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here