Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 11)

14
1827
Kamusi ya Kasino

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Insurance Bet – Mikeka miwili au zaidi ambayo inachukua nafasi baina yake yenyewe kwa yenyewe.

Jackpot – Zawadi ya kiwango cha juu ambayo unaweza kushinda wakati wa kucheza mashine ya sloti.

Keno – Aina ya gemu ya namba ya kasino. Namba zinakuwa ni kutoka katika mzunguko wa jumla wenye namba moja hadi 80 na namba 20 zinatolewa kila droo.

Land Based Casino – Klabu za sloti, kasino. Kasino ya mtandaoni.

Limits – Kiwango cha chini na cha juu cha pesa ambacho kinaweza kutumika katika kila mkeka mmoja mmoja.

Itaendelea…

14 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here