Hot Shots Mines: Mchezo wa Mikakati Ya Soka Ndani Ya Kasino

0
211
Online Casino

Ikiwa wewe ni shabiki wa michezo isiyo ya kawaida ya kasino, basi utapenda Hot Shots Mines. Huu ni mchezo wa mkakati wa awamu ambao ni mzuri kwa wapenzi wa soka na michezo ya kasino, mchezo huu wa Hot Shot Mines unafanyika kwenye uwanja wa soka katika msitu wa kuvutia.

Mchezo huu ni rahisi kucheza. Una vyumba 25, na jukumu lako ni kuyafungua moja baada ya jingine. Epuka kadi nyekundu, kwani kujikwaa nazo kutamaliza zamu yako. Kadri unavyofungua masanduku zaidi, ndivyo unavyopata zawadi/ushindi zaidi.

Play online casino games
Hot Shot Mines

Jinsi Ya Kucheza Hot Shots Mines Kasino

Unaweza kuchagua kucheza na kadi moja, mbili, tatu, tano, saba, kumi, au kumi na tano nyekundu. Idadi ya Kadi nyekundu unazozidi kuchagua, ndivyo dau la ushindi linavyozidi kuongezeka na malipo kuwa makubwa zaidi.

Soma maelezo zaidi kuhusu mchezo huu:

Ushindi Na Malipo

Mchezo huu wa kasino una matoleo tofauti kulingana na idadi ya kadi nyekundu utakazo chagua, Malipo kwa kila toleo la mchezo ni kama ifuatavyo:

Toleo la Kadi moja nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi moja nyekundu uwanjani utapata;
Mara 5.9x ya dau lako ukicheza vyumba 21,
Mara 7.85x ya dau lako ukicheza vyumba 22,
Mara 11.8x ya dau lako ukicheza vyumba 23,
Mara 23.5x ya dau lako ukicheza vyumba 24,

Toleo la Kadi mbili nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi mbili nyekundu uwanjani utapata;
Mara 28.2x ya dau lako ukicheza vyumba 21,
Mara 47x ya dau lako ukicheza vyumba 22,
Mara 94x ya dau lako ukicheza vyumba 23,
Mara 282x ya dau lako ukicheza vyumba 24.

Toleo la Kadi tatu nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi tatu nyekundu uwanjani utapata;
Mara 38.7x ya dau lako ukicheza vyumba 17,
Mara 62x ya dau lako ukicheza vyumba 18,
Mara 109x ya dau lako ukicheza vyumba 19,
Mara 217x ya dau lako ukicheza vyumba 20.

Toleo la Kadi tano nyekundu:

Play casino games online
Uwanja wenye kadi 5 nyekundu

Kwa toleo hili la uwepo wa kadi tano nyekundu uwanjani utapata;
Mara 39x ya dau lako ukicheza vyumba 12,
Mara 63.5x ya dau lako ukicheza vyumba 13,
Mara 109x ya dau lako ukicheza vyumba 14,
Mara 200x ya dau lako ukicheza vyumba 15.

Toleo la Kadi saba nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi saba nyekundu uwanjani utapata;
Mara 39.5x ya dau lako ukicheza vyumba 09,
Mara 70.5x ya dau lako ukicheza vyumba 10,
Mara 132x ya dau lako ukicheza vyumba 11,
Mara265x ya dau lako ukicheza vyumba 12.

Toleo la Kadi kumi nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi kumi nyekundu uwanjani utapata;
Mara 16.7x ya dau lako ukicheza vyumba 05,
Mara 33.3x ya dau lako ukicheza vyumba 06,
Mara 70.5x ya dau lako ukicheza vyumba 07,
Mara 158x ya dau lako ukicheza vyumba 08.

Cheza kasino mtandaoni
uwanja wenye kadi nyekundu 10.

Toleo la kumi na tano nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi kumi na tano nyekundu uwanjani utapata;
Mara 18.1x ya dau lako ukicheza vyumba 03,
Mara 57x ya dau lako ukicheza vyumba 04,
Mara 200x ya dau lako ukicheza vyumba 05.

Grafiki na sauti:

Grafiki za mchezo huu wa kasino  ni nzuri sana, na viwango vyake vya sauti vimepimwa na wataalamu. Muziki  Hot Shots Mines ni wenye kusisimua na unaongeza uhalisia wa mchezo.

Grafiki na sauti katika Hot Shots Mines ni bora kabisa. Uwanja wa soka umepambwa vizuri, na muziki ni mzuri na wenye kusisimua.

Hitimisho

Hot Shots Mines ni mchezo wa mkakati wa awamu wa kufurahisha na changamoto kwa wapenzi wa soka wa kila umri. Malipo ni ya ukarimu, na grafiki na sauti ni bora kabisa. Ikiwa unatafuta mchezo mpya wa kasino kujaribu, basi lazima ujaribu Hot Shots Mines

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here