Hot Keno – Mchezo Wa Namba Za Bahati.

0
1074

Kama ulikosa michezo ya kipekee, kama ulitaka michezo tofauti, tunao mchezo sahihi kwa ajili yako! Nani kasema huwezi kucheza michezo ya namba kupitia kasino mtandaoni? Safari hii tunakuletea mchezo kama huo!

Hot Keno ni mchezo wa kasino mtandaoni uliotolewa na mtengenezaji wa michezo EGT Casino. Katika mchezo huu, unapewa fursa ya kushinda mara 10,000 zaidi ya dau lako! Ni juu yako kuandaa mpangilio na mfuatano sahihi wa namba kumi za ushindi.

Keno Games Online
Hot Keno

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu wa namba, tunapendekeza usome sehemu inayofuata ya makala hii ambapo utapata muhtasari wa mchezo Hot Keno.

  • Kuhusu Mchezo Wa Hot Keno
  • Jinsi ya kucheza Hot Keno?
  • Ushindi Wa Hot Keno
  • Bonasi Za Mchezo Huu
  • Picha na sauti

Kuhusu Mchezo Wa Hot Keno

Hot Keno ni mchezo wa namba ambao utakukumbusha sinema za Kigiriki. Lazima utakua  umeshawahi kukutana na mchezo huu kwenye maduka ya kubashiri.

Kuna jumla ya namba 80, ambapo namba 20 huchezwa. Lengo la mchezo ni kubashiri idadi kubwa ya namba zitakazotokea/zitakazochaguliwa kadri iwezekanavyo, hasa kubashiri namba zote.

Hata hivyo, hata kama hautofanikiwa kubashiri na namba zote, pia unaweza kushinda pesa kulingana na idadi ya namba ulizochagua kutokea.

Chini ya nguzo kuna menyu na maadili ya dau kwa kila mzunguko. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua kiasi unachotaka.

Pia kuna chaguo la Autoplay ambalo unaweza kuwasha wakati wowote. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka idadi isiyo na kikomo ya mizunguko.

Unaweza kurekebisha athari za sauti kwa kutumia kifungo chenye picha ya spika.

Jinsi ya kucheza Hot Keno?

Unachohitajika kufanya ni kuandaa mchanganyiko/mpangilio wa namba mbili hadi namba kumi na kuanza mchezo.

Chagua namba zako pendwa au angalia uchezeshaji wa awali na cheza kwa kubashiri namba ambazo unadhani zitachezwa kutoka kwenye jopu la namba.

Ikiwa hauwezi kuamua, hiyo pia sio tatizo. Chagua mchanganyiko wa namba unazotaka kucheza, na kisha cahgua kitufe cha uteuzi nasibu(random selection).

Ushindi Wa Hot Keno

Play Keno Games Online
Mpangilio wa namba mbili za ushindi

Katika sehemu inayofuata ya makala, tutakupa odds za ushindi na malipo kwa mchanganyiko wa namba.

Ushindi wa namba mbili:

  • Kama unacheza namba mbili na ukapata moja, utapata thamani ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba mbili, utapata mara tisa ya dau uliloweka.

Ushindi wa namba tatu:

  • Ukipata namba mbili kati ya tatu, utapata mara mbili ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tatu kati ya tatu, utapata mara 48 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi wa namba nne:

  • Kama unapata namba mbili kati ya nne, utapata thamani ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tatu kati ya nne, utapata mara nane zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba zote nne, utapata mara 125 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi wa namba tano:

  • Kama unapata namba mbili, utapata thamani ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tatu, utapata mara nne zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba nne, utapata mara 20 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tano, utapata mara 150 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi kwa namba sita:

  • Ukipata namba tatu, utapata mara mbili zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba nne, utapata mara 15 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tano, utapata mara 60 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba sita, utapata mara 550 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi kwa namba saba:

  • Ukipata namba tano, utapata mara 28 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata nambari sita, utapata mara 90 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba saba, utapata mara 1,000 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi wa namba nane:

  • Ukipata namba sita, utapata mara 50 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba saba, utapata mara 270 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba nane, utapata mara 2,000 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi wa namba tisa:

  • Ukipata namba saba, utapata mara 95 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba nane, utapata mara 500 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tisa, utapata mara 5,000 zaidi ya dau ulioliweka.

Ushindi wa namba kumi:

  • Ukipata namba saba, utapata mara 50 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba nane, utapata mara 210 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba tisa, utapata mara 1,000 zaidi ya dau ulioliweka.
  • Ukipata namba kumi, utapata mara 10,000 zaidi ya dau ulioliweka.

    Keno Online Tanzania
    Mpangilio wa ushindi

Bonasi Za Mchezo Huu

Bonasi ya Mchezo huu una bonasi ya kubashiri tu, na ni mchezo wa kubahatisha. Bonasi hii, unaweza kuongeza ushindi wako mara mbili. Unachohitaji ni kutabiri rangi ya karata inayofuata.

Keno bonus games
Keno Bonus

Picha na sauti

Maandhari ya mchezo wa Hot Keno yanaambatana na rangi ya Burgundy. Kwenye mandhari hayo hayo, utaona hali ya moto na cheche zinazowaka.

Muziki mzuri upo kila wakati unapojiburudisha. Vile Vile ubora wa picha katika mchezo huu ni mzuri sana.

Chagua mchanganyiko/mpangilio wako wa namba, cheza Hot Keno, na ushinde mara 10,000 zaidi ya dau lako leo hii!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here