Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 17)

7
1555
Kamusi

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Rookie Player – Mteja anayechipukia katika gemu za kasino.

Roulette –  Gemu ya kasino ambayo mipira yenye namba inazunguka. Lengo la gemu ni kukisia katika namba ambayo mpira utaangukia.

Scatters – Alama ambazo zinapoangukia katika mstari wa kwenye mpangilio unachagiza kutokea kwa mizunguko ya bure. Katika gemu nyingi, hii itaendesha mizunguko ya bure, kokote ambako zinatokea katika skrini, haijalishi ni mstari gani wa malipo unahusika kwake. Mara nyingi tatu au zaidi ya alama hizi huchagiza chaguo la mizunguko ya bure..

Shifting Wilds – Aina ya wildcard ambayo inahamisha mipangilio kuzunguka kolamu, ambapo kwa kila mzunguko, popote unapofikia muunganiko. Wakati wa muunganiko wa ushindi, alama ya ushindi inaondolewa na jokeri anachukua nafasi yake.

Scratch Cards – Hii ni aina ya gemu za kasino ambapo utashinda endapo unafananisha alama tatu au zaidi za aina moja.

Itaendelea

7 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here