Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 12)

12
1589
Kamusi

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake.

Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Line Bet – Kiwango cha pesa ambacho kila mteja anakilipa kwa kila mstari wa malipo ambao unakuwepo hewani.

Live Casino – Sehemu ya ofa za kasino ambazo unaweza kucheza gemu kama vile poka na ruleti kukiwa na dealer kamili wa kasino.

Lobby – Aina ya kipengele cha kasino za mtandaoni ambapo unaweza kuona gemu zote katika kasino husika.

Mobile Slots/Games – Gemu za sloti ambazo unaweza kucheza katika simu yako ya mkononi ama katika tablet.

Multiplayer Casino – Gemu ya mtandaoni ambayo mteja mmoja anacheza dhidi ya mteja mwingine.

Itaendelea…

12 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here