Fangtastic Freespins | Mizunguko ya bure Kama Yote!

Je, uko tayari kwa uvamizi wa bonasi za kasino ya mwezi mpevu? Hicho ndicho hasa kinachokusubiri ukichagua mchezo tunaokwenda kukuonyesha sasa. Mhusika mkuu ni mbwamwitu (werewolf), na ni yeye ambaye anaweza kukuletea ushindi mkubwa.

Fangtastic Freespins ni sloti ya kasino iliyotengenezwa na mtoa huduma Pragmatic Play. Bonasi nyingi za kusisimua zinakusubiri katika mchezo huu. Utataka kupata alama za Mwezi kwenye nguzo, na alama hizo zitakusanywa na mbwamwitu. Zaidi ya hayo, pia utafurahia multipliers(vizidishi) vinavyo ongeza ushindi wako.

Fangtastic Freespins
Sloti ya Fangtastic Freespins

Ikiwa unataka kujifunza zaidi kuhusu mchezo huu, tunapendekeza uendelee kusoma sehemu inayofuata ambapo mapitio kamili ya sloti ya Fangtastic Freespins yanafuata.

Mapitio ya mchezo yamegawanywa katika sehemu zifuatazo:

  • Maelezo ya msingi

  • Alama za sloti ya Fangtastic Freespins

  • Michezo ya bonasi

  • Picha na sauti za mchezo

Maelezo ya msingi

Fangtastic Freespins ni sloti yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na ina paylines 10.

Ili kushinda, ni lazima kuunganisha angalau alama tatu zinazofanana kwenye payline moja.

Isipokuwa pekee ni alama ya risasi, ambayo inaweza kulipa hata ikiwa kuna alama mbili tu kwenye payline.

Michanganyiko yote ya ushindi huhesabiwa kutoka kushoto kwenda kulia, kuanzia reel ya kwanza upande wa kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwa kila payline. Ikiwa kuna michanganyiko mingi ya ushindi kwenye payline moja, utalipwa ule wenye thamani kubwa zaidi.

Unaweza pia kupata jumla ya ushindi ikiwa michanganyiko ya ushindi itatokea kwenye paylines kadhaa kwa wakati mmoja.

Karibu na kitufe cha Spin kuna vitufe vya kuongeza (+) na kupunguza (-) vinavyokuwezesha kuweka kiwango cha dau kwa kila mzunguko.

Kipengele cha Autoplay kinapatikana na unaweza kukiwasha wakati wowote. Unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000 kupitia chaguo hili. Unaweza pia kuchagua fast spins au turbo spins.

Unaweza ku set mizunguko ya haraka kwenye kona ya kushoto chini ya nguzo za mchezo.

Alama za sloti ya Fangtastic Freespins

Alama zenye malipo ya chini zaidi ni alama za kawaida za kadi: 10, J, Q, K na A. Alama hizi zina thamani sawa ya ushindi.

Baada yake kuna alama ya mwezi mpevu, ambayo inaleta ushindi mkubwa zaidi kidogo. Mwezi mpevu ni alama maalum, na tutazungumzia zaidi kuhusu hilo baadaye.

Fangtastic Freespins
Ushindi Mkubwa

Baada yake kuna alama ya kisu na chupa ya kioo yenye kimiminika maalum. Ukifanikiwa kuunganisha alama tano za aina hii, utashinda mara 50 ya dau lako.

Kuna pia mmea wa rangi ya zambarau ambao mbwamwitu huukimbia. Ukifanikiwa kuunganisha alama tano, utashinda mara 100 ya dau lako.

Alama yenye thamani kubwa zaidi kati ya alama za kawaida ni jozi ya risasi. Ikiwa alama tano zitatokea kwenye payline moja, utashinda mara 200 ya dau lako.

Michezo ya bonasi

Scatter inawakilishwa na kucha ya mbwamwitu, na inaweza kuonekana kwenye reels zote.

Scatter tatu au zaidi huanzisha free spins/mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:

  • Scatter 3 huleta free spins 10

  • Scatter 4 huleta free spins 15

  • Scatter 5 huleta free spins 20

Fangtastic Freespins
Alama ya Scatter

Wakati wa mizunguko ya bure, alama ya wild, inayowakilishwa na mbwamwitu, pia itaonekana. Wild inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa scatter na mwezi, na husaidia kuunda michanganyiko ya ushindi.

Alama ya mwezi hubeba ushindi wa pesa wa bahati nasibu. Ushindi huu unaweza kuwa kati ya mara 2 hadi mara 2,000 ya dau lako.

Wild inapojitokeza kwenye reels, hukusanya thamani ya alama za mwezi na kukulipa mara moja.

Fangtastic Freespins
Free Spins zenye Vizidishi

Zaidi ya hayo, wild inapojitokeza, hukupa spin moja ya ziada na kujaza progressive meter.

Ukikusanya wild sita kwenye progressive meter, utashinda free spins 8 za ziada.

Pia, multiplier ya x2 itaamilishwa kwa ushindi wote unaohusisha alama ya mwezi.

Ukifanikiwa kuamilisha tena kipengele hiki, utapata free spins 8 nyingine na multiplier itaongezeka hadi x3.

Ushindi wa juu kabisa katika mchezo huu ni mara 2,100 ya dau lako.

Pia kuna chaguo la Ante Bet, na unaweza kununua free spins moja kwa moja kupitia Bonus Buy.

Picha na sauti za mchezo

Nguzo za mchezo wa Fangtastic Freespins zimewekwa kwenye lango la kasri la Woodclack. Muziki wa ajabu na wa kuvutia unasikika muda wote unapocheza.

Michoro ya sloti hii ni yenye ubora wa hali ya juu, na alama zote zimeundwa kwa umakini mkubwa na maelezo ya kina.

Furahia tukio la kusisimua, ujishindie hadi mara 2,100 ya dau lako ukicheza sloti ya Fangtastic Freespins.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *