Bonasi za Kasino – Nini Maana Yake na Inafanyaje Kazi?

36
1695
Bonasi ya kasino ni ile ambayo inazawadiwa katika gemu fulani au gemu zaidi ya moja, ambapo kunakuwa na sheria fulani za promosheni husika, kutegemeana na maelekezo ya waaandaaji wa bonasi hiyo.

Kila mteja ana nafasi, kwa kadri ya promosheni ambazo zinakuwepo katika nyakati fulani, ya kupata bonasi za kasino.

Bonasi ya kasino ni ile ambayo inazawadiwa katika gemu fulani au gemu zaidi ya moja, ambapo kunakuwa na sheria fulani za promosheni husika, kutegemeana na maelekezo ya waaandaaji wa bonasi hiyo.

Ni muhimu kuelewa kuwa mara zote unatakiwa kuzitumia bonasi hizo. Huwa waandaaji wanasema uzitumie kwa idadi gani ili uweze kuzihamishia katika akaunti ya fedha taslimu, hii inaelezwa katika masharti na vigezo vya bonasi ya kasino husika.

Isipotumika kwa muda fulani inarudi kwa waandaaji, endapo makubaliano yapo hivyo.

Kwa mfano, kuna bonasi ile ya kwamba ukibetia gemu za kasino kwa dau linalofikia TZs 35 000 mara tu unapojiunga ndani ya wiki ya kwanza utapewa mizunguko 50 ya bure kwa kipindi kinachotajwa katika promosheni.

Kila kiasi ambacho utakishinda kutokana na bonasi hiyo kitaweza kuhamishiwa upande wa fedha taslimu uweze kuzipata katika simu yako moja kwa moja.

Hii itatokea pale utakapokubali ujumbe wa kupokea mizunguko ya bure na kihsa ukaitumia na baadaye ikahamia katika akaunti yako na ukaweza kuitoa na kubetia gemu zingine pamoja na za michezo tofauti na ya kasino, chaguo ni lako wewe!

Inatumika katika gemu ile ile ambayo imetajwa katika masharti na vigezo vya bonasi ya kasino hiyo.

Pia, pale unapokuwa na bonasi ya kasino katika akaunti yako kutakuwa na kibao cha muendelezo katika ukurasa wa mwanzo unapotumia kompyuta ya mezani kutegemeana na toleo la kasino inayohusika ikionesha ni asilimia ngapi umebakiwa nazo katika kufikia vigezo vilivyopo kabla hujatoa pesa.

Maelezo ya gemu za kasino mtandaoni yanaweza kupatikana hapa.

36 COMMENTS

  1. Yaani meridian haitaki umalize nguvu zako kwa kukaa nakuumiza kichwa wamekurahisishia Casino ni mchezo mwepesi kabisa

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here