Hot hot Summer - Slots - Sloti - Habanero

Hot Hot Summer | Shangwe Kwenye Jukwaa La Mziki

Je, unakikumbuka kipindi cha kiangazi(summer)? Kwa wale wote wanaopenda jua na muziki, tuna jambo lako hapa. Mchezo wa sloti unaofuata unatokea kwenye tamasha la muziki. Tumia nafasi hiii kuvuna utajiri.

Hot Hot Summer ni mchezo wa sloti iliyoletwa kwetu na mtoa huduma Habanero. Mchezo huu una sifa ya bonasi za kipekee. Kuna wilds za kipekee, alama za vizidishio, droo la bahati na mizunguko ya bure.

Hot Hot Summer - Slots - Sloti - Habanero
Sloti Ya Hot Hot Summer

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu sloti hii, tunakushauri usome mapitio ya sloti ya Hot Hot Summer inayofuata.

Tumegawa mapitio ya mchezo huu katika sehemu kadhaa:

  1. Sifa za msingi
  2. Alama za sloti ya Hot Hot Summer
  3. Bonasi za kasino
  4. Picha na sauti

Sifa za msingi

Hot Hot Summer ni sloti mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika mistari mitatu na ina mistari 25 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima uunganishe alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari.

Mchanganyiko wa ushindi unahesabiwa pekee kutoka kushoto kwenda kulia ukitoka kwenye nguzo ya kwanza kushoto.

Ushindi mmoja unalipwa kwa kila mstari. Ikiwa una mchanganyiko wa kushinda zaidi ya moja kwenye mstari mmoja, utalipwa ushindi wa thamani kubwa.

Ushindi unaweza kuongezwa pamoja, unapoweka kwenye mistari kadhaa wakati huo huo.

Ingawa mchezo una nguzo tano, unaweza kuunda mfuatano wa kushinda wa alama 10 zinazofanana kwa sababu alama maradufu pia huonekana.

Ndani ya eneo la kuweka Beti, kuna vitufe vya kuongeza na kupunguza thamani ya dau lako kwa kila mzunguko.

Pia kuna chaguo la kucheza moja-kwa-moja ambalo unaweza kuamsha unapotaka. Unaweza kuweka hadi mizunguko 500 kupitia chaguo hili.

Kwa kubofya kitufe cha mshale unaweza kuweka dau kubwa la juu kwa kila mzunguko. Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti na mizunguko ya haraka kona ya kulia chini ya nguzo.

Alama za sloti ya Hot Hot Summer

Linapokuja suala la alama za sloti hii, zitadhibitiwa na alama za matunda. Tikiti itakuletea malipo ya chini zaidi, wakati ndimu, plamu, na cheri zitakuletea malipo ya juu zaidi.

Kengele ya dhahabu inafuata, na alama ya bar zinaletea malipo makubwa kiasi ukilinganisha na alama tajwa hapo juu.

Almasi ni moja ya alama za msingi zenye thamani zaidi za mchezo, na alama 10 za aina hii kwenye mstari zinalipa mara x800 ya dau lako.

Alama ya msingi yenye thamani zaidi ya mchezo ni alama ya Pink Lucky 7. Ikiwa unaunganisha alama 10 au zaidi za aina hii katika mfuatano wa ushindi, utapata mara x1,000 ya dau lako.

Jokeri inawakilishwa na disko iliyo na nembo ya Porini. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa alama ya scatter na huasaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Hot Hot Summer - Slots - Sloti - Habanero Casino slots
Jokeri

Inatokea kwenye nguzo ya kwanza, ya pili, ya nne na ya tano. Jokeri pia huonekana kama alama moja na vizidishio.

Bonasi za kasino

Alama yoyote moja inayoonekana kwenye nguzo inaweza kubadilishwa kuwa alama ya kizidishio kwa nasibu. Kanuni hii inatumika kwa alama zote, isipokuwa scatter, ambazo daima huwa moja.

Droo ya bahati inaweza pia kuamshwa kwa nasibu. Inaleta nguvu mara mbili ambapo huzidishwa kwa ushindi wowote wakati wa mzunguko uliyotolewa na mizunguko inayofuata.

Hot Hot Summer - Slots - Sloti - Habanero casino slots
Gurudumu la bahati

Wakati inapoamilishwa mizunguko ya bure, inaweza kutua kwenye Upanuzi wa Mfululizo ambao unaleta ushindi mkubwa zaidi.

Scatter inawakilishwa na nembo ya VIP na inaonekana kwenye nguzo zote.

Scatter tatu au zaidi kwenye nguzo zina leta mizunguko ya bure kulingana na sheria zifuatazo:

  • Scatter tatu zinaleta mizunguko 6 ya bure.
  • Scatter nne zinaleta mizunguko 12 ya bure.
  • Scatter tano zinaleta mizunguko 20 ya bure.
Hot Hot Summer - slots - sloti - Habanero casino slots
Scatter

Mara tu unapounda mchanganyiko wa ushindi wakati wa mchezo huu wa bonasi, utabaki mahali pake hadi mwisho wa mizunguko ya bure na alama mpya zitaongezwa kwenye mfuatano wa ushindi.

Hot Hot Summer - Slots - Sloti - casino slots online - Habanero casino slots online
Mizunguko ya bure

Kwa chaguo la Super Bet, utaongeza kiwango cha dau, lakini idadi ya kutokea kwa alama ya scatter na droo la bahati huongezeka.

Unaweza kuamsha mizunguko ya bure kupitia chaguo la Buy Bonus.

Picha na sauti

Nguzo za sloti ya Hot Hot Summer zimepangwa kwenye jukwaa la muziki. Karibu na nguzo utaona watu wenye taa ambao wamekuja kwenye tamasha. Athari za sauti na picha zitakushangaza kabisa.

Usikose karamu ya kufurahisha na Sloti ya Hot Hot Summer.

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.