sloti ya golden lamps - slots - sloti - kasino ya mtandaoni - Red Tiger online slots

Sloti ya Golden Lamps | Chemli yenye ushindi wa ajaabu!

Lazima utakua umesikia hadithi za Aladdin na taa yake ya kichawi. Sasa tumekuletea toleo la michezo ya sloti kwa mfumo wa hadithi hii. Ingawa hakuna Aladdin ndani yake, utaona malkia, zulia na taa ya kichawi ambayo ni alama yenye thamani kubwa zaidi.

Golden Lamps ni mchezo wa sloti mtandaoni ulioandaliwa na wataalamu wa michezo ya kasino – Red Tiger . Utaupenda mchezo huu uliojaa na alama za wilds ambazo zinaweza kukuletea ushindi usio wa kawaida . Kunogesha mambo zaidi, wakati wa mizunguko ya bure utazidi kuziona alama hizo za wilds kwenye nguzo.

Golden Lamps - Slots - sloti - casino bonus - Red tiger slots
Sloti ya Golden Lamps

Ikiwa unataka kujua zaidi kuhusu mchezo huu, tunakushauri usome mapitio ya sloti ya Golden Lamps.

Tumegawa mapitio ya sloti ya Golden Lamps kwenye vipengele kadhaa:

  • Sifa za msingi
  • Alama za soti ya Golden Lamps
  • Bonasi za kasino
  •  Picha na sauti

Sifa za msingi

Golden Lamps ni sloti ya mtandaoni yenye nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari 20 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote ni lazima upate alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari wa malipo.

Mchanganyiko wowote wa ushindi unahesabiwa kipekee kutoka kushoto kwenda kulia ukianzia nguzo ya kwanza kushoto.

Unaweza kupata ushindi mmoja kwenye mstari mmoja wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindi zaidi ya moja kwenye mstari mmoja wa malipo, utalipwa ushindi wenye thamani kubwa zaidi.

Jumla ya ushindi ni lazima, ikiwa unaziunganisha kwenye mistari ya malipo kadhaa wakati huo huo.

Ndani ya uwanja wa kubeti, unaweza kuona vitufe vya jumlisha na kutoa vinavyotumika kuweka thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia kuna kipengele cha kucheza kiotomatiki ambalo unaweza kulianzisha wakati wowote unapotaka. Kupitia chaguo hili, unaweza kuweka hadi mizunguko 100. Kabla ya kuamsha chaguo hili, weka kikomo juu ya hasara itakayojitokeza.

Ikiwa unapenda mchezo wa haraka zaidi, tuna suluhisho kwa hilo pia. Amsha mizunguko ya haraka kwa kubonyeza kisanduku kilichona label ya Turbo . Unaweza kurekebisha kiwango cha sauti kwenye kona ya kulia juu ya nguzo.

Alama za sloti ya Golden Lamps

Linapokuja suala la alama za mchezo huu, malipo ya chini kabisa ni alama za karata za kawaida: 10, J, Q, K na A. Zina thamani tofauti ya malipo, na yenye thamani zaidi kati yao ni karata yenye alama A.

Ikiwa unapata alama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi utapata mara x50 ya dau lako.

Alama inayofuatia inawakilishwa na jukwaa lenye visu vya ki-ninja. Pata alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo na utapata mara x70 ya dau lako.

Alama ya Zulia itakuletea malipo makubwa sana. Ukiunganisha alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utapata mara x100 ya dau lako.

Alama ya msingi yenye thamani zaidi ni malkia mwenye almasi nzuri kwenye paji lake la uso. Pata alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utapata mara x120 ya dau lako.

Bonasi za kasino

Alama ya Jokeri inawakilishwa na taa ya dhahabu ya kichawi. Inachukua nafasi ya alama zote isipokuwa Alama ya Scatter na husaidia kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Golden Lamps - slots - sloti - casino bonus - kasino ya mtandaoni - red tiger online slots
Alama ya Wild(Jokeri)

Inaonekana kwenye nguzo zote na ni alama yenye thamani kubwa zaidi ya mchezo. Ikiwa unapata alama tano za aina hii kwenye mstari wa malipo utapata mara x500 ya dau lako.

Alama ya Scatter inawakilishwa na nembo ya ‘Free Spins’ na huonekana kwenye nguzo ya kwanza, ya tatu na ya tano. Ikiwa alama tatu za aina hii zinaonekana kwenye nguzo utazindua mizunguko ya bure.

Golden lamps - slots - sloti - casino bonuses - kasino ya mtandaoni - Red Tiger online slots
Amsho la Mizunguko ya bure

Walakini, mshangao mwingine unakusubiri wakati wa mchezo huu wa bonasi. Majokeri huonekana mara nyingi sana kuliko kwenye mchezo wa kawaida. Inafanya iwe rahisi kupata faida kubwa.

Golden Lamps - slots - sloti - casino bonuses - kasino ya mtandaoni - Red tiger online slots
Mizunguko ya bure

Kiwango cha kurejesha ushindi kwa mchezaji(RTP) kwenye sloti hii ni 96.1%. Aidha, malipo ya juu ni mara x810 ya dau lako.

Picha na sauti

Nguzo za sloti ya Golden Lamps ziko kwenye terasi ya kasri la kiorienti. Picha za sloti hii ni nzuri sana na alama zote zimeelezewa kwa undani.

Muziki upo kila wakati ukikuburudisha, na hasa utapenda sauti za ushindi za mchezo huu.

Usikose ushinidi mkubwa, cheza sloti ya Golden Lamps leo!

Post navigation

Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Online Casino Bonuses
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.