Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 20 MWISHO)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Wagering Requirements / Playthrough – Kiwango cha pesa ambacho unatakiwa kukitoa katika gemu fulani ili uweze kudai bonasi yako.

Wagering Free – Aina ya bonasi ambayo unaweza kuitoa bila ya kufuata vigezo na masharti yoyote yale. Unaweza kuchukua chote unachoshinda punde tu gemu inapomalizika. 

Wild Symbols – Kuna aina mbalimbali za alama za wild. Ambacho zote zinafanana kwake ni namna zinavyobadilisha alama zile na kuzisaidia zitengeneze muunganiko wa ushindi.

Withdrawal – Neno linalotumika katika wakati ambapo mteja anataka kutoa pesa ambayo hajaitumia katika akaunti yake. 

Muhtasari wa gemu za kasino mtandaoni unaweza kusomwa zaidi kwa kuingia hapa

15 Replies to “Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 20 MWISHO)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka