Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 19)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Tournament – Mashindano, kwa kawaida katika gemu za sloti au katika michezo ya poka, ambapo wateja wanashindania kupata matokeo fulani yanayotakiwa ili waibuke na ushindi.

Turn – Neno la poka bomba kabisa ambayo linaonesha karata ya nne inayotakiwa kutumika kwa tiketi husika.

Twenty one – Neno lingine badala ya neno Blackjack.

VIP – Mteja ambaye anaweka dau kubwa na miamala mikubwa mara kwa mara.

Wager – Dau.

Itaendelea…

14 Replies to “Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 19)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka