Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 18)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Sic Bo – Gemu ya Kichina yenye dice tatu. Unaweza kubetia katika namba kubwa, ndogo, shufwa na witiri. Gemu inatoa machaguo kibao. Hii inamaanisha kwamba “precious cube”

Slots – Sloti bomba ya mashine, lakini katika mfumo wa kidigitali.

Stacked Wilds – Aina hii ya jokeri inasambaa katika kolamu zote na kubadilisha alama zote zingine, inasaidia kutengeneza muunganiko wa ushindi.

Sticky Bonus – Aina ya bonasi ambayo hauwezi kupata pesa taslimu lakini inatengwa kwa ajili ya kuchezea gemu pekee. Endapo unatengeneza faida kwa aina hii ya bonasi unaweza kutoa pesa hiyo.

Sticky Wilds –  Aina hii ya jokeri ni sawa na zile jokeri za kawaida. Inabadilisha alama zingine na kusaidia kutengenza muunganiko wa ushindi. Tofauti kati yao ni kuwa jokeri wa kawaida wanabakia pale pale katika kolamu kwa ajili ya mzunguko unaofuatia.

Itaendelea…

8 Replies to “Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 18)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka