Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 16)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Reverse Withdrawal – Kipindi baada ya kuomba malipo, lakini unakuwa na uwezo wa kupata pesa zako na unaweza kuzirudisha katika miamala yako na kuitumia kubetia.

River – Hii ni hali nzuri sana ya poka na ina maana ya kuwa karata ya tano ambayo inafunguka wakati ikiwa mkononi.

RNG – Programu ambayo inapangilia mambo yake bila ya mpangilio kwa matokeo ya mzunguko wa sloti, ikitumia miunganiko yote inayowezekana.

RTP – Asilimia ya malipo ambayo ni ya kufikirika katika mashine za sloti. Inaweza kufanyiwa hesabu kwa kuongeza jumla ya pesa ulizoshinda na kugawanya kwa jumla ya pesa ambazo zipo katika “reversed” kwenye gemu hiyo.

Rogue Casino (Blacklisted) – Kasino ambayo haishauriwi kwa sababu fulani. Ni zile kasino ambazo zimezuiwa.

Itaendelea…

8 Replies to “Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 16)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kasino Bora
5.0 rating
Meridianbet Casino: Pata mizunguko 50 BURE + Bonasi 5% ya Muamala Ulioweka