Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 15)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Progressive Jackpot – Zawadi ya juu zaidi inayowezekana kupatikana kwenye mashine za sloti. Jakpoti ya muendelezo inakuwa kubwa kadri inavyoendelea mpaka pale inapotwaliwa na mshindi fulani.

Progressive Slot – Gemu ya sloti ambayo inakupatia jakpoti ya muendelezo.

Punto Banco – Neno lingine linalotumika kuonesha maana ya Baccarat.

Rake (pixel) – Neno hili ni zuri zaidi katika nchi ya Serbia na ni maarufu kwa jina la “pixel”. Asilimia ambayo kasino inawachaji wahusika wakati wa uchezaji wa mchezo wa poka ya mkononi. Kiwango cha kawaida ni kutoka 2.5% mpaka 5%.

Reel – Kolamu/mlolongo ambao unazunguka huku ukiwa na kolamu zingine katika kujaribu kutengeneza muunganiko wa ushindi.

Itaendelea…

11 Replies to “Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 15)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *