Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 13)

Kwa ujumla gemu za kasino za aina zote zimekuwa na baadhi ya maneno ambayo hayajazoeleka sana kwa watumiaji wengi, leo hii utaona ni maneno gani yanayotumika na maana zake. Kutakuwa na mfululizo wa makala za aina hii kuhusiana na kasino. Pitia hapa kila siku kufahamu zaidi.

Multiplier – Alama ambazo zinaleta thamani fulani kwa ushindi wako unapozidishwa.

No Strings Attached – Bonasi ambazo hazina masharti au zuio lolote lile.

Odds – Alama za ushindi ambazo zinaoneshwa kwa desimali ama kwa asilimia.

Online Casino Games – Gemu zinazojulikana kama mashine za sloti au sloti za video. Zinaweza kuchezwa au kupakuliwa mara moja.

Outside Bets – Mikeka ambayo kuna vidokezo kadhaa kwa nje katika namba zenye mpangilio wa ruleti ya mtandaoni.

Itaendelea…

15 Replies to “Gemu: Kamusi ya Kasino… (Sehemu ya 13)”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *